Mngendalyasota
Senior Member
- Jan 22, 2011
- 171
- 48
ninamaanisha jimbo la Thomas Nyimbo aliloporwa na jah People
Thomas Nyimbo alipokonywa ushindi na NW wizara ya Maji Mh Gerson Lwenge, Njombe Magharibi na sio Jah People wa Njombe Kaskazini.
ninamaanisha jimbo la Thomas Nyimbo aliloporwa na jah People
Kesi alifungua Thomas Nyimbo ni tofauti na nyingine... Yeye aliamua kukata rufaa kwa wananchi, kinachoendelea kule ni maangamizininamaanisha jimbo la Thomas Nyimbo aliloporwa na jah People
Sio Nyimbo ninaye mfahamu mimi.nyimbo anaweza kukata tamaa