Hukumu Kesi ya Uchaguzi Njombe

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Wana JF
Nakumbuka kesi ya Uchaguzi jimbo la Njombe ilikuwa ya kwanza kabisa kufunguliwa na CHADEMA huku kukiwa na matumaini makubwa pia kuwa kesi hii itakuwa na ushindi rahisi kutokana na rafu zinazodaiwa kufanywa kwa ukaribu zaidi na PM Pinda aliyekuwa huko siku ya kupiga kura. Lakini kwa sasa hali ni kimya na haijulikani kesi imefikia wapi.

kama kuna mtu ana taarifa za maendeleo ya kesi hii hebu atupe taarifa tujue kinachoendelea huko.
 
Bi kiroboto alitoa jengo kuwapa mahakama huko mkoa mpya wa njoluma alipoona kesi akawanyang'anya so mahakama imekosa pango njombe..ama unazungumzia njombe ya Mhuni Jah people?.
 
Yes Mkuu Njombe kwa jah People
 
ninamaanisha jimbo la Thomas Nyimbo aliloporwa na jah People
 
Mkuu hujaeleweka, ni Njombe ipi unayozungumzia wewe? Njombe kuna majimbo matatu: yaani Njombe Kaskazini (Deo Sanga a.k.a Jah People ndio mbunge kwa sasa, huyu alimshinda Alatanga Nyagawa wa CDM); Njombe Kusini (Mbunge wake Spika Makinda alipita bila kupingwa); na Njombe Magharibi Mbunge wake ni Eng. Gerson Lwenge. Lwenge ndiye aliyemshinda Thomas Nyimbo wa CDM kwenye uchaguzi 2010. Fafanua ni jimbo gani hasa unalozungumzia.
 
Hapana si kweli, Jimbo la Thomasi Nyimbo lilichukuliwa na Eng Gerson Lwenge CCM {Jimbo la Njombe Magharibi} Jimbo la Jah People ni Njombe Kaskazini. Kwa taarifa tu Mkuu.

Ni kweli nilichanganya na uchaguzi wa uenyekiti wa CCm Mkoa Jah people alipowashinda Nyimbo na Mangula. nazungumzia jimbo la Injinia Lwenge ambako nadhani Nyimbo alikuwa mwana CDM wa kwanza kufungua kesi ambayo Marando alikwenda kuishughulikia mwanzo kabisa after uchaguzi
 
Mkuu hujaeleweka, ni Njombe ipi unayozungumzia wewe? Njombe kuna majimbo matatu: yaani Njombe Kaskazini (Deo Sanga a.k.a Jah People ndio mbunge kwa sasa, huyu alimshinda Alatanga Nyagawa wa CDM); Njombe Kusini (Mbunge wake Spika Makinda alipita bila kupingwa); na Njombe Magharibi Mbunge wake ni Eng. Gerson Lwenge. Lwenge ndiye aliyemshinda Thomas Nyimbo wa CDM kwenye uchaguzi 2010. Fafanua ni jimbo gani hasa unalozungumzia.

Nakiri kuji-mix, ni jimbo la Njombe magharibi ndilo ninalozungumzia

Rafu zilichezwa sana dakika za mwisho kuelekea siku ya kupiga kura, zikiongozwa na Pinda na Makinda. CDM kule walishindwa kwa mbinu kadhaa ikiwa ni pamoja na vitisho kwa wananchi, wananchi kupewa "elimu" potofu, wizi wa kura, etc. Kiukweli Nyimbo alipambana sana na alikuwa anaelekea kushinda kabisa, ukiacha Iringa mjini, Njombe Magharibi ni jimbo jingine ambalo lilionekana wazi kwenda upinzani. Kukosekana kwa uongozi thabiti wa CDM ktk wilaya ya Njombe kulichangia kwa kiasi fulani maana Nyimbo alikuwa kama jeshi la mtu mmoja. I hope CDM wamejifunza sasa.

Sina habari za hiyo kesi, nitaendelea kutafuta nikipata updates zozote nitawajulisha.
 
@Nasema

Thanx kwa maelezo haya ambayo ni well informed. Ukipata maendeleo ya kesi pls tupe updates maana nashangazwa na ukimya uliopo katika kesi hii
 
Pengine Nyimbo alikatiwa 'chake' akaifutilia mbali kesi! Just thinking aloud
 
Wakati tukifuatile kesi mbalimbali pia tuwahimize wabunge wetu wa cdm na upinzani kwa jumla wahamasishe maendeleo kwenye majimbo yao ili kuvutia wapiga kura kazi iwe rahsi zaidi 2015! Kaskazini imeonyesha njia!! kanda zingine ziige!
 
Mkuu hujaeleweka, ni Njombe ipi unayozungumzia wewe? Njombe kuna majimbo matatu: yaani Njombe Kaskazini (Deo Sanga a.k.a Jah People ndio mbunge kwa sasa, huyu alimshinda Alatanga Nyagawa wa CDM); Njombe Kusini (Mbunge wake Spika Makinda alipita bila kupingwa); na Njombe Magharibi Mbunge wake ni Eng. Gerson Lwenge. Lwenge ndiye aliyemshinda Thomas Nyimbo wa CDM kwenye uchaguzi 2010. Fafanua ni jimbo gani hasa unalozungumzia.
hongera wewe ni great thinker unachambua mambo kitaalamu!!!
 
Nasema

Thanx kwa maelezo haya ambayo ni well informed. Ukipata maendeleo ya kesi pls tupe updates maana nashangazwa na ukimya uliopo katika kesi hii

Nyimbo hakufungua kesi. Alikubali yaishe na akaamua kujikita kwenye kuijenga CHADEMA kwa ajili ya 2015. Tatizo kubwa la CHADEMA kwenye uchaguzi huo kwenye Jimbo hilo ni kwamba hawakuwa wamejiandaa kushiriki. Nyimbo alipewa kugombea baada ya ku-defect kutoka CCM.

Nasema amefafanua vizuri sana kwamba ilikuwa ni vita ya peke yake (Nyimbo) na aliwapelekesha puta sana. Kwenye mazingira kama hayo, sometimes you never know ni nani wa kumwamini na kukubali awe wakala kwenye kituo. Maana wengi aliokuwa anawategemea walikuwa wamemfuata yeye kama Nyimbo na bado walikuwa na links na CCM, so ni ngumu kujua yupi atasimamia kura zako kihalali.

Mawakala ni muhimu sana linapokuja swala la uchaguzi, uchakachuaji wa kura hufanywa kupitia hizo fomu ambazo hujazwa. Ikitokea Wakala akawa siyo mwaminifu, basi inakula kwako. Refer case ya Lissu jinsi CCM walivyokuwa wakilalamika kwamba Lissu aliandaa mawakala wa vyama vyote vya upinzani na pia aliwapa mafunzo na kuwahonga msosi. Hiyo ndio michezo ambayo huchezwa na CCM kwenye chaguzi.
 
Rafu zilichezwa sana dakika za mwisho kuelekea siku ya kupiga kura, zikiongozwa na Pinda na Makinda. CDM kule walishindwa kwa mbinu kadhaa ikiwa ni pamoja na vitisho kwa wananchi, wananchi kupewa "elimu" potofu, wizi wa kura, etc. Kiukweli Nyimbo alipambana sana na alikuwa anaelekea kushinda kabisa, ukiacha Iringa mjini, Njombe Magharibi ni jimbo jingine ambalo lilionekana wazi kwenda upinzani. Kukosekana kwa uongozi thabiti wa CDM ktk wilaya ya Njombe kulichangia kwa kiasi fulani maana Nyimbo alikuwa kama jeshi la mtu mmoja. I hope CDM wamejifunza sasa.

Sina habari za hiyo kesi, nitaendelea kutafuta nikipata updates zozote nitawajulisha.

Mzee Nyimbo ni jembe kweli kweli ndiyo maana kila hujuma ilifanywa.
 
Rafu zilichezwa sana dakika za mwisho kuelekea siku ya kupiga kura, zikiongozwa na Pinda na Makinda. CDM kule walishindwa kwa mbinu kadhaa ikiwa ni pamoja na vitisho kwa wananchi, wananchi kupewa "elimu" potofu, wizi wa kura, etc. Kiukweli Nyimbo alipambana sana na alikuwa anaelekea kushinda kabisa, ukiacha Iringa mjini, Njombe Magharibi ni jimbo jingine ambalo lilionekana wazi kwenda upinzani. Kukosekana kwa uongozi thabiti wa CDM ktk wilaya ya Njombe kulichangia kwa kiasi fulani maana Nyimbo alikuwa kama jeshi la mtu mmoja. I hope CDM wamejifunza sasa.

.
Upo sahihi, hata CDM wenyewe hawakuwa na askari wa kutosha 2010 ila sasa askari wapo wa kutosha sana tu, na sera ya CDM ni kuwawezesha wenye wilaya yao/ Jimbo wajisimamie zaidi baada ya kukelwa na mfumo na tuseme ukweli CDM Iringa yote imesima baada ya 2010. Tupo pamoja, tutafika tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom