Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

Kama kawaida mie nilikuwa cijamaliza sylabus na nimeshikilia masomo mawili Chemistry na Biology shule nzima haina mwalimu wa Chemistry na Biology hata mmoja na Kuna mkondo kutoka form I yani A, B, C na D hadi form four shule fulani XXXXXX na mshahara wangu kama vle mnavyojua serikali nundu hii. Inabidi nijitolee kwa wiki vipindi zaidi ya 80, na wanategemea nini. Nakuja na mgomo wangu yani kupiga story na wanafunzi na Kuwafundisha jinsi ya kuing'o serikali pumbavu kama hii. Sitarajii kushika chaki. Itakuwa ni story darasani maana matoto yenyewe matikiti maji yanapenda Topic ya REPRODUCTION tu. Zingine wanaona usenge nami ntawafundisha hyo hyo. Ukiwaleta ktk EVOLUTION NA GENETICS anabaki MMOJA tu Darasani yani topic ngumu. CHEMISTRY Ndo usiseme MAJANGA TU. Wataona WANAFUNZI NI STORY KWENDA KUSHOTO.

We mwalimu weweeeee !!
Msaidie mwanao Kayumba na dada yake, yaaani.
 
We mwalimu weweeeee !!
Msaidie mwanao Kayumba na dada yake, yaaani.

Hakuna kaka kama kawa mwanzo mwisho pindi ni story tupu. Maana hata madenti wanasemaga Ticha unamwaga ngeli mno kuliko kiswazi. Sasa ni kiswazi na story za kuing'oa serikali mbovu yenye maovu yasiyo na ncha.
 
nasema hivi walimu msikate tamaa haki ya mtu haiibiwi ila inacheleweshwa tu, endeleeni na mgomo ila uwe baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ambapo mtafika shuleni kama kawaida ila mfanye mambo yafuatayo
1. Muwe mnaita majina tu.
2. Muwe busy ajabu mnaandika lesson plan (andalio la somo) siku nzima.
3. Kaeni staf muda mwingi mkiandaa scheme of work.
4. Kama utaenda darasani hakikisha unakwenda kutuliza kelele za wasumbufu na kutoa adhabu kwa watoro tu.
5. Panga kufundisha topic 1 tu kwa mwaka na pia muhakikishe hata hiyo topic moja haiishi mpaka mwisho wa mwaka.
6. Kwa sababu serikali haitaki kuwapa madai yenu ambayo kimsingi bado hamjayapata na zaidi mnalazimishwa na mahakama zenye majaji wa UPE Mrudi shuleni mnaweza kufundisha unauthorised syllabus mf. 1 + 3 = 13.

Huu ni mtizamo wangu tu, msijenge chuki.
 
uko sahihi sana mkuu. manake kufika shule kusain daftari la mahudhurio kuwa na log iliyojazwa vzr pamoja na scheam of work na lesoni plani pamoja na lesoni notisi bado siyo kufundisha atiii. naweza kuingia darasan nikafundisha uongo makusudi kabisa ama pia nikaishia kuimbisha wanafunzi nikatoka serikali inapaswa kufikiri namna ya kummotivate huyu mwl kweli tunakoelekea ni kuona fani hii ikikimbiwa na watu na kubaki pasi mwelekeo.

ifike mahali raisi aseme anataka nini kwa watanzania tufe ama tuuane ama tuish kama kondoo wasiokuwa na mchungi?

i can feel your pain madame....very sorry!!

"do not fear or hestate....make hard decisions now!!it is better you make wrong decis
ions than not make decision at all"....Hon Edward Ngoyai Lowassa.
 
Hivi kwanini waalimu wasiishitaki serikali kwa kutokuwalipa madai ya malimbikizo yao ya mshahara na madeni ya pesa za likizo na pesa za uhamisho? Hili swala halihitaji kugoma, ni haki ya waalimu sawasawa na mtu kukulimia bustani halafu ukakataa kumlipa pesa yake, akigoma anajicheleweshea kupata haki yake tu. Waalimu ishitakini serikali.
Mambo ya kuongezewa mshahara, mazingira ya kazi etc msichanganye na madai yaliyo moja kwa moja ya malimbikizo ya mshahara etc...
 
Kama mahakama imesema saa 48 zililikuwa siku za weekend, wamesahau kama mahakama hiyo hiyo ilifanya kazi siku ya jumapili ktk kuuzuia ule mgomo wa walimu wa kwanza? kwa maana hiyo lile pingamizi la siku ya jumapili lilikuwa BATILI.
 
Kama kawaida mie nilikuwa cijamaliza sylabus na nimeshikilia masomo mawili Chemistry na Biology shule nzima haina mwalimu wa Chemistry na Biology hata mmoja na Kuna mkondo kutoka form I yani A, B, C na D hadi form four shule fulani XXXXXX na mshahara wangu kama vle mnavyojua serikali nundu hii. Inabidi nijitolee kwa wiki vipindi zaidi ya 80, na wanategemea nini. Nakuja na mgomo wangu yani kupiga story na wanafunzi na Kuwafundisha jinsi ya kuing'o serikali pumbavu kama hii. Sitarajii kushika chaki. Itakuwa ni story darasani maana matoto yenyewe matikiti maji yanapenda Topic ya REPRODUCTION tu. Zingine wanaona usenge nami ntawafundisha hyo hyo. Ukiwaleta ktk EVOLUTION NA GENETICS anabaki MMOJA tu Darasani yani topic ngumu. CHEMISTRY Ndo usiseme MAJANGA TU. Wataona WANAFUNZI NI STORY KWENDA KUSHOTO.

Haha haaa haa mkuu umenifurahisha sana vipindi 80 we ni noma, unavuta bangi kwanza kabla yakuingia class nn?unawezaje? wakati hauna mshahara ila unaposho tu kwa mwezi. acha hayo mambo ya kuwa kama mwl wa zamani bana, hayo mambo mi niyaexperience pia wakati wa REPRODUCTION class inakula nyomi mpaka unashangaa kwani imekuaje? utadhani unatoa ofa ya copulation hapo class, ngoja sasa ufanye MOVEMENT,GROWTH au KINGDOM PLANTAE phylum Platyhelminthesis we wanakimbia kama wanariadha haha haa ha so fun achana nao erooo
 
Walimu wakirudi tu kama walivyo wamekwisha. Mgomo wao utakuwa na maana gani basi? Inakuwaje mahakama kutoa 'zuio' nje ya muda wa kazi lakini walimu kutoa notisi nje ya muda wa kazi ni sahihi?
 
nasema hivi walimu msikate tamaa haki ya mtu haiibiwi ila inacheleweshwa tu, endeleeni na mgomo ila uwe baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ambapo mtafika shuleni kama kawaida ila mfanye mambo yafuatayo
1. Muwe mnaita majina tu.
2. Muwe busy ajabu mnaandika lesson plan (andalio la somo) siku nzima.
3. Kaeni staf muda mwingi mkiandaa scheme of work.
4. Kama utaenda darasani hakikisha unakwenda kutuliza kelele za wasumbufu na kutoa adhabu kwa watoro tu.
5. Panga kufundisha topic 1 tu kwa mwaka na pia muhakikishe hata hiyo topic moja haiishi mpaka mwisho wa mwaka.
6. Kwa sababu serikali haitaki kuwapa madai yenu ambayo kimsingi bado hamjayapata na zaidi mnalazimishwa na mahakama zenye majaji wa UPE Mrudi shuleni mnaweza kufundisha unauthorised syllabus mf. 1 + 3 = 13.

Huu ni mtizamo wangu tu, msijenge chuki.

Hili suala nimelikuta mwaka huu shuleni na bado kunampango kama huu katka shule nyingi. Kwahyo!
 
Halafu leo nimemsikia waziri wa elimu akilidanganya bunge kuwa walimu wanadai nyongeza ya mshahara na allowance za mazingira magumu nk. Madeni ya malimbikizo na uhamisho na mengineyo yameshalipwa. Huo ni uongo kwani hata mimi ni mwalimu na ninadai malimbikizo yangu pamoja na walimu wengine wengi ninawafahamu pia wanadai malimbikizo
 
Hapo hamna jipya Mahakama zetu tutazitumia kama mifano mibaya ya mahakama zilizowahi kutokea TZ katika utawala wa mkwereee
 
Kesi yaserikali anapewa jaji ahukumu na alikula kiapo palepale white house ambapo siku sinyingi mkuu kasema haiwezekani hili warudi tu kwakazi!!!PUNDA AFE MZIGO WABOSI UFIKE!
 
nawashangaa kwa hukumu yao, mwalimu aligoma siku nyingi sema wiki hii aliamua kjitokeza hadharani, hukumu ya mahakama ya kazi imewarejesha tena mafichoni kuendelea na mgomo baridi ambao madhara yake yameanza onekana form one hajui kusoma japo amefaulu!
 
Back
Top Bottom