Jaj kaogopa kulala mabwepande.
Mwaka ujao watavuna division 0 zaidi, si hawajui maana ya kugoma
Kama kawaida mie nilikuwa cijamaliza sylabus na nimeshikilia masomo mawili Chemistry na Biology shule nzima haina mwalimu wa Chemistry na Biology hata mmoja na Kuna mkondo kutoka form I yani A, B, C na D hadi form four shule fulani XXXXXX na mshahara wangu kama vle mnavyojua serikali nundu hii. Inabidi nijitolee kwa wiki vipindi zaidi ya 80, na wanategemea nini. Nakuja na mgomo wangu yani kupiga story na wanafunzi na Kuwafundisha jinsi ya kuing'o serikali pumbavu kama hii. Sitarajii kushika chaki. Itakuwa ni story darasani maana matoto yenyewe matikiti maji yanapenda Topic ya REPRODUCTION tu. Zingine wanaona usenge nami ntawafundisha hyo hyo. Ukiwaleta ktk EVOLUTION NA GENETICS anabaki MMOJA tu Darasani yani topic ngumu. CHEMISTRY Ndo usiseme MAJANGA TU. Wataona WANAFUNZI NI STORY KWENDA KUSHOTO.
Niliposikia suala lipo mahakamani nikajua kwamba nwisho wa siku serikali lazima ishinde.
We mwalimu weweeeee !!
Msaidie mwanao Kayumba na dada yake, yaaani.
uko sahihi sana mkuu. manake kufika shule kusain daftari la mahudhurio kuwa na log iliyojazwa vzr pamoja na scheam of work na lesoni plani pamoja na lesoni notisi bado siyo kufundisha atiii. naweza kuingia darasan nikafundisha uongo makusudi kabisa ama pia nikaishia kuimbisha wanafunzi nikatoka serikali inapaswa kufikiri namna ya kummotivate huyu mwl kweli tunakoelekea ni kuona fani hii ikikimbiwa na watu na kubaki pasi mwelekeo.
ifike mahali raisi aseme anataka nini kwa watanzania tufe ama tuuane ama tuish kama kondoo wasiokuwa na mchungi?
Kama kawaida mie nilikuwa cijamaliza sylabus na nimeshikilia masomo mawili Chemistry na Biology shule nzima haina mwalimu wa Chemistry na Biology hata mmoja na Kuna mkondo kutoka form I yani A, B, C na D hadi form four shule fulani XXXXXX na mshahara wangu kama vle mnavyojua serikali nundu hii. Inabidi nijitolee kwa wiki vipindi zaidi ya 80, na wanategemea nini. Nakuja na mgomo wangu yani kupiga story na wanafunzi na Kuwafundisha jinsi ya kuing'o serikali pumbavu kama hii. Sitarajii kushika chaki. Itakuwa ni story darasani maana matoto yenyewe matikiti maji yanapenda Topic ya REPRODUCTION tu. Zingine wanaona usenge nami ntawafundisha hyo hyo. Ukiwaleta ktk EVOLUTION NA GENETICS anabaki MMOJA tu Darasani yani topic ngumu. CHEMISTRY Ndo usiseme MAJANGA TU. Wataona WANAFUNZI NI STORY KWENDA KUSHOTO.
nasema hivi walimu msikate tamaa haki ya mtu haiibiwi ila inacheleweshwa tu, endeleeni na mgomo ila uwe baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ambapo mtafika shuleni kama kawaida ila mfanye mambo yafuatayo
1. Muwe mnaita majina tu.
2. Muwe busy ajabu mnaandika lesson plan (andalio la somo) siku nzima.
3. Kaeni staf muda mwingi mkiandaa scheme of work.
4. Kama utaenda darasani hakikisha unakwenda kutuliza kelele za wasumbufu na kutoa adhabu kwa watoro tu.
5. Panga kufundisha topic 1 tu kwa mwaka na pia muhakikishe hata hiyo topic moja haiishi mpaka mwisho wa mwaka.
6. Kwa sababu serikali haitaki kuwapa madai yenu ambayo kimsingi bado hamjayapata na zaidi mnalazimishwa na mahakama zenye majaji wa UPE Mrudi shuleni mnaweza kufundisha unauthorised syllabus mf. 1 + 3 = 13.
Huu ni mtizamo wangu tu, msijenge chuki.