kachwamayebe
Member
- Jul 31, 2012
- 16
- 1
Nakumbuka mgomo wa kwanza wa walimu ulipigiliwa msumari na kuamuliwa na mahakama wakati wa usiku,na kwa mara ya kwanza Jaji aliyetoa hukumu hiyo alipigwa picha na vyombo vya habari.Kitu ambacho ni kinyume na sheria ya media kupigwa picha jaji au hakimu wakati anasikiliza au kutoa hukumu, Wakati huohuo mahakama haifanyi kazi usiku na hata siku za mwisho wa juma kama jumamosi.Sasa inakuwaje leo, hukumu inatolewa na kusema ati serikali haifanyi kazi wikendi, wakati wao walifanya hivyo