Huku kwenye maofisi ya Serikali huduma ni mbovu mno na watumishi wamerelax sana. Hivi shida ni nini?

Ulienda kupata huduma gani, wakati mwingine mteja unamueleza vizuri tu anaanza kukaza fuvu kisa ana haraka zake au anataka jambo lifanyike bila kufuata utaratibu basi anatoka hapo na hasira kibao. Mtu unamwelekeza vizuri tu nyaraka zinazotakiwa kesho yake anakuja nazo pungufu... Ukimwambia utasikia hukuniambia au huu ni urasimu mi nimechoma nauli etc. Ni mfano tu....
usihisi wew ndo upo serikalin pekee yako , mimi nmefanya kaz hospital x , machief ( sasa ni wastaafu na mim sipo serikalin tena ) nliwakuta walikuwa wanaagizia bites wanakula wanapiga story wanakwambia dogo wagonjwa huwa hawaishi , we jitesee tu
 
Dah mbuzi mee nimekuelewa japo hujapenda kushare expirience yako
mimi.nlikuwa huko hali ni mbaya naandika kama aliyewai kuwa mmoja wa watoa huduma na sio mpokea huduma , watendaj wa hospitalin ni hovyo kabisa hawatak maoni wala kurekebishwa wao ni kupiga story wkt wagonjwa wapo nje wanasubiri , mtu unaangalia unakaa kimya tu usionekane mjuaji
 
Mume wa yule bibi Yuko wapi mbona haonekani akimpigia mkewe debe la 2025?

CCM wanajifanya wanamjua yule bibi, wamuulize mumewe!
 
Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno....
Kumchukua Katibu wa CCM wa wilaya kwenda kuwa DC unatarajia nini mkuu?

Unamchukua Mwenyekiti wa CCM mkoa anakwenda kuwa DED , unategemea nini mkuu?
 
Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno....
Nilienda Posta Pamba Road Mwanza kufuata mzigo wangu. Nikamkuta binti mmoja na dilishani pale tulikua wateja watatu tu. Ebanaee 😂😂yaani nilichukua dakika 45 hivi.
 
Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno....
Jitahidi sana uongee na watu vizuri kuwa mcheshi mbona uchangamfu upo mimi napiga simu tu nahudumiwa kama nipo ofisi husika ila ni kitu unakotengeneza ili usiteseke na sio lazima utoe hela......

Salimia watu uhudumiwe vizuri
 
Nilienda Posta Pamba Road Mwanza kufuata mzigo wangu. Nikamkuta binti mmoja na dilishani pale tulikua wateja watatu tu. Ebanaee 😂😂yaani nilichukua dakika 45 hivi.
Kwahyo dakika 15 mtu mmoja mbona sio jambo kabisa kama huduma zinaendelea
 
Jitahidi sana uongee na watu vizuri kuwa mcheshi mbona uchangamfu upo mimi napiga simu tu nahudumiwa kama nipo ofisi husika ila ni kitu unakotengeneza ili usiteseke na sio lazima utoe hela......

Salimia watu uhudumiwe vizuri

Hilo ni kosa kubwa sana..huduma hazitolewi kwa mtindo huo..maana mkiwa 20 mkapiga simu ina maana wale walioko physically wasubirie mpaka nyie wa simu muhudumiwe!!! Yaani hapa umeaniaka ujinga unaofanyika
 
usihisi wew ndo upo serikalin pekee yako , mimi nmefanya kaz hospital x , machief ( sasa ni wastaafu na mim sipo serikalin tena ) nliwakuta walikuwa wanaagizia bites wanakula wanapiga story wanakwambia dogo wagonjwa huwa hawaishi , we jitesee tu
Hahahaha....wagonjwa hawaishagi chief...ukicheza na ww utaumwa...kisa umeshinda njaa...wagonjwa hawanaga huruma na mtu au daktari....mtu ukimuhudumia kwa dhamana..akipona anakuona takataka...pesa halipi unabaki kulipa deni kwa mhasibu.. wagonjwa hawajui kama na ww unaweza kuumwa
 
Back
Top Bottom