Elections 2010 HUJUMA dhidi ya SLAA katika mdahalo wa JK leo

Chadema Changamkeni acheni kulala.Tuwe realistic,tunafaham kuwa CCM imechoka na ujinga wa watanzania ambao ndio wengi ndio mtaji wao.Lakini leo ITV siku nzima imejaa matangazo ya upuuzi wa CCM,sehemu kubwa wakitumia wananchi wenye uwezo finyu wa kufikiria kwenye hizo tv adds zao,hadi unawaonea huruma.
Ishu yangu na CHADEMA ni kuwa they are taking it too easy,these less substance adds are influencing un-educated voters big tym.
CHADEMA wanatakiwa watumie tv,wanunue airtime kufanya killer adds at the dying ours,otherwise we should expect nothing.
These people are using a lot of money in this,CHADEMA can't compete with em FISADIS on that category.
But come on,hata kidogo kidogo basi na ujumbe wa maana.
And what about mdahalo,CHADEMA wameshindwa kurudia ule mdahalo,kama sio ITV kwa nini wasiurudie Tv nyingine,or hatimiliki stuff?.Or tutaendelea kulia na hujuma za CCM? Eti CCM imefanikiwa kuwadhibiti CHADEMA wasiweze kupata air time kabisa ya kurudia huu mdahalo angalau kwa siku moja? Come one we know all of these songs,CCM is evil,everybidy knows that but we gotta be smart.
CHADEMA Act quickly today and tomorrow,get some adds on tv.Use the media,CCM are using them,CHADEMA is chilling.One fact is this,media is winning election!..CCM will win because of this too,that's why they have based much on media ads for these last days,and i can see it working on their favour.If we are blind enough to see this then am out!..Let's keep in mind that over 70% of Tanzanians wanafuata mkumbo and easily influenced,uneducated base,voting base!.
If you need vote,look for votes.We do not have smart voters in Tanzania!..

Keep the spirit of change on!...Dr. Slaa is our choice.
 
hapo kwenye red mkuu, air time wamejaribu kununua wanakataliwa. (sina uhakika, ila marudio ya mdahalo kuzuiwa dakika za mwisho ni sababu tosha)
 
Ndugu zanguni,

Taarifa nilizopata leo ni kuwa 'mdahalo' utakaoneshwa na ITV leo usiku kuhusu mgombea Urais wa CCM Jakaya Kikwete, umeingiliwa na mafisadi kuhakikisha kuwa unakuwa ni mkutano wa kampeni badala ya mdahalo.

Kwanza kabisa, jukumu la kualika waandishi wa habari na washiriki wengine halifanywi na waandaaji wa mdahalo huo (Rose Mwakitwange na Vox Media ya Ansbert Ngurumo) bali limepewa timu ya kampeni ya Kikwete.

Sielewi kwa nini waandaji wa mdahalo huu wameruhusu uhuni huu haswa ikizingatikwa kuwa Ngurumo yupo kwenye campaign team by Dk. WILLIBROD SLAA wa Chadema.

Waandishi watakaoalikwa kwenye mdahalo huo ni wale tu waliokuwepo kwenye kampeni ya Kikwete. Waandishi hawa ndiyo wale walikuwa wanalipwa posho ya shilingi laki 1 kila siku na CCM na kuvishwa nguo zimeandikwa "KIKWETE PRESS."

Taarifa nilizopata ni kuwa tayari campaign team ya Kikwete, akiwemo Abdulrahman Kinana, January Makamba, Prince Bagenda na Muhingo Rweyemamu, wameandaa maswali ya kumbeba JK ambao waandishi hawa wamepewa waulize kwenye mdahalo.

Waandishi hawa wamepewa maswali ya kumpamba Kikwete na kumponda SLAA kwenye mdahalo huo na tayari Kikwete ameandaliwa majibu ambayo atayasoma.

Hivi sasa, mwandishi wa Tanzania Daima, anayeitwa IRENE MARK, ndiye amebeba bahasha kubwa yenye mialiko ya waandishi wa Kikwete watakao hudhuria mdahalo huu. Mwandishi huyu amepewa pesa azunguke newsroom zote na kugawa mialiko hiyo kwa "carefully selected journalists" ambao walikuwa kwenye kampeni za Kikwete.

Cha ajabu mwandishi huyu yuko kwenye gazeti linalomilikiwa na Freeman Mbowe, mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA.

Waandishi hawa wa Kikwete ambao tutawaona kwenye mdahalo leo usiku wamepanga kufanya party kubwa ambayo itafadhiliwa na CCM ili kujipongeza kwa mchango wao kwenye ushindi wanaotarajia wa Kikwete.

Pia, CCM wamefanya hila makusudi ili mdahalo uliotia fora sana wa SLAA usirudiwe tena kwenye TV yeyote hapa nchini mpaka uchaguzi upite.

Timu ya Kinana imewarubuni waandaaji wa mdahalo huu ili Kikwete awe mgombea wa mwisho kuzungumza kwenye TV leo ili ujumbe wake ubaki kwenye akili za Watanzania siku ya kupiga kura Jumapili.

SWALI: Ngurumo wa Vox Media ambao wanaandaa mdahalo huu kwa nini anaruhusu hujuma hii yote dhidi ya SLAA?

Naomba kuwasilisha...

Rev. Kishoka, embu waambie hawa wachovu wa Chadema tofauti ya MDAHALO na "ana kwa ana na ...".
 
Back
Top Bottom