Elections 2010 HUJUMA dhidi ya SLAA katika mdahalo wa JK leo

MNAHANGAIKA NA MTU ALIYEPATA PASS MARK YA 2.0 MLIMAN. TENA POLITICAL SCIENCE.............HUYU JK HANA CHAKE WATU TUMESHAAMUA:bowl:
 
Tutegemee maswali ya kishkaji kama ya tido, i wonder why CCM strategist are being derailed it seems they can't keep up with time, they keep on rudimentary kind of technique.

Countdown to Kikwete's reign
 
Kama tangu kampeni kuanza hajaleta lolote la msingi, sidhani kama analojipya la kutueleza. Miaka mitano alikuwa ana muda wa kueleza na watu hawajamwelewa, kwahiyo kwa leo usitegemee jipya.
 
Mahojiano na PB yalikuwa ni aibu tupu kwa mwerevu yoyote aliyesikiliza, hakuna maswali yanayomgusa Mtanzania wa chini yalioulizwa, mengi yalikuwa yanaongelewa ni mambo ya Kusadikika: Nadhani mnakumbuka kile kitabu cha KUSADIKIKA. maswali yote yanaonyesha yaliandaliwa, waandishi wenyewe Gerald na Babra walikuwa wanatetemeka sana as if sio proffessionals. Yaani kwa utashi na uwezo hakika huyu ndugu yetu Mkwere bado sana. Watanzania mmewekewa mbele yenu Glasi na Almasi, chaguo ni lenu.
 
Nadhani siku kama ya leo kwenye kampeni huwa ni kuwashawishi "undecided voters", ambao nadhani ni wachache sana ! Sioni mantiki ya kutumika rasilimali nyingi kiasi hicho kinachelezwa na wachangiaji humu
 
poleni sana ndugu zangu wana-jf.Ukiwa makini unaposoma hii thread,ni dhahiri mleta thread analenga kupima uwezo wenu wa kuchanganua taarifa.This is a HOAX.Hakuna kitu kama hicho.
 
Ni facts ambazo zitathibitishwa kwenye mdahalo wenyewe leo usiku.

Hatuwezi kuwazuia kufanya hizo mbwembwe, wala kugawa hela za walalahoi kwa waulizaji maswali Mamuluki , Cha msingi tunajua watanzania wameshaelewa sera nzuri ni zipi hivyo pa kupeleka kura zao wanajua.
 
Mimi sina wasiwasi na haya yote wakuu,

JK ni kilaza, kama umemsikiliza leo Clouds Radio, hajui anachotaka kufanya, haelewi priority zake!!! Hana jipya!!!

Sana sana atawapa nafasi nzuri watu kumchinjia baharini!!!
 
JK hata akiulizwa Ikulu ipo wapi atajibu "Hahahaaa.....nii...... niiii... ma.... maa... magogoni". Kwa staili hiyo atamfunika Slaa.

Na wakati anahangaikia kuchakachua mdahalo, Slaa anakata mbuga mbaya. Leo kafunika sehemu kibao moja ikiwa ni wilaya ya Mbarali ambapo kuna dogo wa second year DUCE amewashika mbaya!

Mi nakazia fikra ulinzi wa kura tu
 
Kwa ninavyojua mimi wa leo si Mdahalo bali ni mkutanio na vyombo vya habari...so haniumizi sana kichwa kwani nani asiyejua uandishi wa vyombo vyetu vya habari vinavojua kuipamba Yanga na Simba kwenye mechi za kimataifa ila ukweli tunaujua sisi wenyewe watanzania so dsidhani kama kuna MDANGANYWA TENA KWA WAKATI HUU...Ukichukulia vyombo vyetu vya habari vilivyo sharp kuchangamkia habari zenye chombo cha kusafirishia BARUA.
 
Atakachokinena JK leo usiku ni immaterial kwa sababu electorate iko kivitendo zaidi this time...na vitendo siyo one of JK's strong points am afraid!
 
Hata wangempamba namna gani huyo kiongozi wa mafisadi hauziki. Ni kama ganda la muwa, ni kuchomwa tu!
 
Oh! sina wasiwasi kabisa! aliyeamua ameamua, kikwete hawezi badilisha kitu. hata kama angesomewa na majibu na mtu mwingine!
 
JK kichwa kibovu. Kama amepewa maswali ni lazima pia aandikiwe majibu. Akitoa kichwani tu, utamsikia anavyopwaya. Sasa tutashangaa kuona mudahalo ambao anayejibu ana karatasi za majibu.
 
khaaaa hebu anzisheni sredi ya mdahalo wa Kikwete mie ielewi wanaongea nini anaulizwa kwa nini anawanadi watuhumiwa katika kampeni za ubunge anadai ni watuhumiwa wanaweza kushinda kesi mmmh:nono::nono::nono::nono::nono:
 
Back
Top Bottom