Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 725
enjoy the show!
umenena vyema, sasa we badala ya kufurahia unashangaa mwe! we nata na beat jifunze hizo sarakasi ili mwendage sawa mwenzio nae afurahie acha kumboa
enjoy the show!
Tokea nijiunge na jf, nimetokea kutumia PC siku moja tu na nilijaribu nikajaribu kuitafuta hiyo pm. Mh! Sikuoina pa wala am, nikabaki kuangalia avatar tu, nazo zilikuwa na maajabu yake kwangu. Kumbe nakosa mengi mwenzenu na naogopa kuja kuweka topic ambayo itabidi watu wani am au wani pm.