How will you react?

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
Umepata mke/mme na kipindi chote cha mahusiano hamkuwahi kujuana kimwili.Baada ya kufunga ndoa,siku ya kwanza kupeana tunda,mke/mme anakuonyesha viwango vya hatari yaani full ma freestyle na sarakasi za kila aina kitandani.Huu uwezo kaupata wapi na kaupataje?
 
Unless he/she had expressively claimed to have never had done anything especially the "do", I dont see what is there to be surprised about?
 
kUNA SEHEMU NYINGI SANA MTU ANAWEZA KUJIFUNZA..KUNA VITABU VYA MAPENZI, BLOG MBALIMBALI KAMA 8020 MALAVIDAVI, PICHA ZA NGONO NA KWINGINE KIBAO KAMA MAKUNGWI, SHULENI NA KADHALIKA.. HAYA MAMBO HAYANA UZOEFU BALI UBUNIFU NA KUFANYIA KAZI ULICHOKIONA AU KUSOMA KWA NADHARIA... AISEE..MI MWENYEWE SIKU YA KWANZA TUU...JAMAA..ALICHANGANYIKIWA..HAHAHAHAAAAAAAA...UNALOO
 
Dah! hichi kichwa ch habari nilikisoma vibaya "how will yu erect" nitarudi.
 
Kuhusu kusoma vitabu,blogs,sijui kujifunza mashuleni si kitu.Tukubali kwamba kabla hajawa na wewe alikuwa ni 'super striker' yaani mpiganaji hatari,huwezi kujifunza football just kwa kuangalia football match bana!,you must practice it very hard.
 
Umepata mke/mme na kipindi chote cha mahusiano hamkuwahi kujuana kimwili.Baada ya kufunga ndoa,siku ya kwanza kupeana tunda,mke/mme anakuonyesha viwango vya hatari yaani full ma freestyle na sarakasi za kila aina kitandani.Huu uwezo kaupata wapi na kaupataje?

Kwani ulimkuta bikira? Jibu ni HAPANA...Ina maana hao waliowahi kabla ya mume walimuonyesha/walimfundisha maujuzi yote hayo. Sasa mume hana sababu yoyote ya kujiumiza kichwa na kuanza kukosa raha kwa hili inabidi mume afurahie tu maujuzi ya mkewe.
 
Kumbuka, siku hizi watu wanajifunza ma style kwenye mtandao kuanzia wadogo. Usishtuke ukikutana na hayo mambo.
 
Kwani ulimkuta bikira? Jibu ni HAPANA...Ina maana hao waliowahi kabla ya mume walimuonyesha/walimfundisha maujuzi yote hayo. Sasa mume hana sababu yoyote ya kujiumiza kichwa na kuanza kukosa raha kwa hili inabidi mume afurahie tu maujuzi ya mkewe.
Hapo umenena mkuu,inabidi uwashukuru waliokutangulia kwa kumpa mkeo xperience ya kutosha kwani bila wao ungeanza na moja.
 
akicheza kibao kata nawe cheza, akicheza bolingo nawe cheza, akiruka hip hop nawe jirushe. Unashangaa nini sasa resond to the tune banaa.
 
Umepata mke/mme na kipindi chote cha mahusiano hamkuwahi kujuana kimwili.Baada ya kufunga ndoa,siku ya kwanza kupeana tunda,mke/mme anakuonyesha viwango vya hatari yaani full ma freestyle na sarakasi za kila aina kitandani.Huu uwezo kaupata wapi na kaupataje?

Kwani umemkuta hajachanwa (bikra) kama hukumkuta hivyo ujue keshafunzwa na wengine zamaniii we hapo ni kufuata kilichowaunganisha tu kumbuka " ukimchunguza sana BATA huwezi kumla"
 
huu ni ulimwengu wa sayansi na technology..sasa unashangaa nini..
inawezekana wewe ulimboa mno siku hiyo kis aunataka uonekane hujawahi kufanya
hahahhaha NAPATA PICHA...ushamba huo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom