How will you react?

i agree ufundi kaupata wapi? hata ukiangalia kwenye picha u can not be perfect the first time..........hapo kweli nitakuwa na mashaka.....mh
 
We nawe!Kwani alikwambia kazaliwa jana?Mapenzi ni sanaa ambayo sio lazima mtu ajifunze darasani.Ni ubunifu tu unaohitajika!

Lizzy ni kweli mapenzi ni sanaa na si lazima mtu ajifunze darasani.......... anapojifunzia ndo naamini kimpe mtoa mada wasi wasi....... Ubunifu huwa kutokana na experience......... She's experienced bana hata mm ningeshtuka, ningejua nimenunua mbuzi kwenye gunia only to find ni nguruwe........
 
Lizzy ni kweli mapenzi ni sanaa na si lazima mtu ajifunze darasani.......... Ubunifu huwa kutokana na experience......... She's experienced bana hata mm ningeshtuka, ningejua nimenunua mbuzi kwenye gunia only to find ni nguruwe........
Mi nakwambia inawezekana sana!Kwani huyo aliyeanzisha hayo yanayoitwa maujuzi alijifunza wapi?Ubunifu upo ndani ya mtu mwenyewe ndo maana pamoja na mafunzo yote yanayopatikana bado kuna watu hawajui pakuanzia!
 
we ulitaka asijui kitu..ingekuwaa lawama tenaaa.just react normal banaaaa
 
Kama lengo nikumpata mpiganaji hodari,basi mtu anaweza akajitwalia vitu vyake mitaa ya ohio(dar) au kaumba(moro town),kwa wale satisfaction is guaranteed.
 
Kama lengo nikumpata mpiganaji hodari,basi mtu anaweza akajitwalia vitu vyake mitaa ya ohio(dar) au kaumba(moro town),kwa wale satisfaction is guaranteed.
Huna uwezo wa kupata mpenzi mpaka ukakodishe huko?
 
Umepata mke/mme na kipindi chote cha mahusiano hamkuwahi kujuana kimwili.Baada ya kufunga ndoa,siku ya kwanza kupeana tunda,mke/mme anakuonyesha viwango vya hatari yaani full ma freestyle na sarakasi za kila aina kitandani.Huu uwezo kaupata wapi na kaupataje?

Mapenzi hayafundishwi babu ehh!! Hata hivyo hatujakutana tukiwa mabikira
 
Heeee ndio nyie mnaokosaga utamu sababu wake zenu wanaogopa kujituma mtawauliza kulikoni kwani hawezi kuangalia kwenye net na mikanda ya x? au ulimkuta bikira? acha hizo kaka
 
wel kwa ufahamu wangu,ukiachilia mbalini na kushamiri kwa mikanda ya ngono,kuna badhi ya makabila mwari anapo karibia kuolewa hufundwa,nikiwa na maana anafundishwa mitindo hadi sarakasi,sasa hili si jambo la kushangaza hata kidogo.yakheeee karibu pwani.
 
Umepata mke/mme na kipindi chote cha mahusiano hamkuwahi kujuana kimwili.Baada ya kufunga ndoa,siku ya kwanza kupeana tunda,mke/mme anakuonyesha viwango vya hatari yaani full ma freestyle na sarakasi za kila aina kitandani.Huu uwezo kaupata wapi na kaupataje?

We kwa vile hukumkuta sildi usishangae. Na kuwa mkali ktk haya haina maana kuwa umefanya mara lukuki. Kwanza siku hizi kuna mablog kibao yanayota ufafanuzi wa utendaji wa mambo haya, ukiyazingati na ukitoa uoga ktk ufanyaji, hata kama ni mara yako ya mwanzo basi utakuwa mkali tu.
 
Tangulia ukifika niite!

Tokea nijiunge na jf, nimetokea kutumia PC siku moja tu na nilijaribu nikajaribu kuitafuta hiyo pm. Mh! Sikuoina pa wala am, nikabaki kuangalia avatar tu, nazo zilikuwa na maajabu yake kwangu. Kumbe nakosa mengi mwenzenu na naogopa kuja kuweka topic ambayo itabidi watu wani am au wani pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom