How to buy laptop online

Tip Master

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
490
532
Wapendwa napenda kujuzwa kama kuna yeyote aliye na uzoefu wa kununua vitu online kama vile laptop na ningeomba nipewe na link kama itawezekana. Asanteni naomba kuweka mezani wakuu.
 
Wapendwa napenda kujuzwa kama kunja yeyote aliye na uzoefu wa kununua vitu online kama vile laptop,na ningeomba nipewe na link kama itawezekana.asanten naomba kuweka mezani wakuu.

Kwanza fanya maamuzi ni latop gani na yenye specifation unataka kununua. Je Unataka brand new au hata used. ? Then hakikisha una Visa card . Kisha fungua Account ya Paypal(Ni free na njia salama ya kunua vitu onine)

Badaa ya hapo unatafuta wauzaji ka wengi wapo ebay na amazon hata kwenye website Kama HP Toshiba unaweza kupata maelezo ya kununua online

Kwenye website kama ebay au Amazon hakikisha unanunua kwenye muuzaji mwenye . Positive Kuna tovuti nyngine

Wadau wengine watakujuza au fafanua zaidi specs
 
Nimejaribu amazon lakini rate yao kwenye DHL ni kubwa sana mwenye kujua adress za UK au maeneo ya karibu naomba anijuze
 
Duh!aisee bora ununue Tz 2,watakukomba pesa zote kwenye ATM zako..
 
apple store unanunulia ktk web yahoo. dell, Toshiba, Samsung pia ukiwa unataka brand new.
malipo yote kwa visa/master card so make sure unayo. also ukitaka used need to be care. kuna wezi wanaweza kua wanakomba hela yako kila siku.
 
ndo hvyo kaka kuna wez sana,ila hata mie katka masuala ya kubeba pesa online nina utalaam huo kwahyo kuwen makini,maana 2na2ma virus kwenye computer za watu huyo virus analeta mawasiliano kwe2 na kama una2mia kununua v2 online na huyo virus we2 yupo kwenye computer yako basi hapo umeibiwa tayar maana ana chukua data zote za account zako na ku2letea sisi.
 
Wapendwa napenda kujuzwa kama kunja yeyote aliye na uzoefu wa kununua vitu online kama vile laptop,na ningeomba nipewe na link kama itawezekana.asanten naomba kuweka mezani wakuu.

Online online 4 what purpose, Hvi kuna ki2 kinakosekana KARIAKOO?? Au hyo MASTER CARD ndo inakupa kiburi.
 
Back
Top Bottom