Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Kwa afya ya akili, mke/mume wako inapendeza akawa rafiki yako.
Hii ni kweli kabisa LD; mume na mke wakiwa best friends, hakuna tena wasiwasi kati yao. Tatizo lililopo unakuta eti mke/mume ana best friend wake, ambaye ana-share siri, lakini mume/mke wake nyumbani hazijuwi hizo siri! Mwenzi wako akigundua kuna siri hazijui, kutokuamini kunaanza! Be a friend to your partner, itapunguza presha!!