How to be a good partner...?

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,889
11,285
Wadau

Kuna jambo linanisumbua kweli wiki hii... I hvae been asking myself juma jumla sana, how to be a good partner??

Nauliza hivi kwa sababu ukisoma humu, ukisikiliza kitaa na hata nyumbani, inaonekana ni vigumu sana kuwa a good partner...

kwa wababa
Utaambiwa simu yako inaita kila wakati
jana umechelwa kurudi
hivi wewe mbona hutokagi nje kutembea kama wenzako?
watoto wanataka wewe ndio uwapeleke shule
nimeona sms ya msichana kwenye simu yako
una wivu sana
mbona hunionei wivu
nikivaa hivi itakuaje
sipendi unikosoe nguo niliyovaa hata kama huipendi mimi naipenda
hiki kitambi ni changu wewe kinakusumbua nini?
usiongee na wanawake wengine kazini
hivi wewe huna rafiki?
unakunywa sana
mbona leo hujanywa kabisa unaumwa?

na mambo kadha wa kadha

nisaidieni wanataaluma wa mapenzi
 
Kwa afya ya akili, mke/mume wako inapendeza akawa rafiki yako.
 
anaweza akawa rafiki yako lakini bado hakumaanishi kuacha ulalamishi

kuwa good partner haimaniishi kufanya yale anayopenda mwenzako 100 per ivi ukifanya yote wewe utakuwa nani lazima ukubali pia kuwa mtumwa.msikilize rekebisha yale yanyomkera lakini usisahau kuweka makubaliano yale anayoamini na yanayokufurahisha na kuyasimamia

mume anaweza kukuambia chuchuma ukachuchuma na baada ya wiki akakuambia ivi huwa huwezi kukimbia ukaanza kujiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu all in all ni ngumu kumridhisha binadamu
 
Kweli kabisa,.in addition jipende wewe kwanza and utaeza kupenda mwingine,do all you can do but not all thats above your capacity,.
 
kabisa Tracy ukitaka kuona uchungu wa uhusiano jaribu kutokuwa na misimamo yako utaambiwa mbona unatoka sana ukikaa usipotoka nyuma ya pazia atasonya hili nalo halina pa kwenda anajibanabanatu hapa, nafikiri kuna mambo ya msingi ya kupigania kuliko kuanza kulaumiana vitu ambavo ni kumgeuza mwenzio mtumwa though mwanzo nilikuwa ivo.

Kweli kabisa,.in addition jipende wewe kwanza and utaeza kupenda mwingine,do all you can do but not all thats above your capacity,.
 
yani hadi sasa sijapata jibu

nifanyeje kuwa a good partner? au haiwezekani?
 
Wadau

Kuna jambo linanisumbua kweli wiki hii... I hvae been asking myself juma jumla sana, how to be a good partner??

Nauliza hivi kwa sababu ukisoma humu, ukisikiliza kitaa na hata nyumbani, inaonekana ni vigumu sana kuwa a good partner...

kwa wababa
Utaambiwa simu yako inaita kila wakati
jana umechelwa kurudi
hivi wewe mbona hutokagi nje kutembea kama wenzako?
watoto wanataka wewe ndio uwapeleke shule
nimeona sms ya msichana kwenye simu yako
una wivu sana
mbona hunionei wivu
nikivaa hivi itakuaje
sipendi unikosoe nguo niliyovaa hata kama huipendi mimi naipenda
hiki kitambi ni changu wewe kinakusumbua nini?
usiongee na wanawake wengine kazini
hivi wewe huna rafiki?
unakunywa sana
mbona leo hujanywa kabisa unaumwa?

na mambo kadha wa kadha

nisaidieni wanataaluma wa mapenzi

Mkuu umekuwa BABA YAHAYA nini....mbona umetabiri mawazo yangu?
 
Pole sana kamanda

Ukiwa good partner na bia, hayo maswali hutayapata.

Karibu kundini.
ni kweli kabisa mkuu... tatizo tayari tuna life partners na siku hizi wanaitwa Ocampo, yani wamekua wakali kweli aisee... yani sms moja maneno laki aba na nusu
 
Ukizisoma hizo sms wakati ukiwa na bia kichwani, wala hazikusumbui kichwa.

KWA MARA YA PILI KARIBU KUNDINI.
 
Ukitoka utoe maelezo ya kwanini unatoka, na ukirudi useme kwanini umewahi ama kuchelewa kurudi

Na hata ukitoa maelezo ya unapoenda yanahojiwa, kwanini unakutana sana na kina fulani (walevi?), na hata ukisema kuwa unakutana nao kwakuwa na wewe ni mlevi hataki kukubali kwakuwa atajiona low kuolewa na mlevi

Siku hizi midume tunatakiwa kutoa maelezo kuliko watoto wanavyotoa maelezo kwa wazazi, wala kuliko washtakiwa wanavyotoa maelezo polisi

kweli ndoa ndoano
 
yani hadi sasa sijapata jibu

nifanyeje kuwa a good partner? au haiwezekani?

yeah haiwezekani kuwa a good partner kwani binadamu haturidhiki ukifanya hivi anatafuta sababu hii ukifanya vile anaibukia kwingine mradi tabu tu (unakumbuka huu sijui ni wimbo unaimbwa dunia aaaa dunia hadaaa ukiwa huna wewe bwana gani? na ukitoa ***** mtonzeni). Umenichekesha na kitambi wanawake wengi wakishazaa kukosa kitambi ni bahati nasibu mpendwa so cha muhimu we kipende tu mi changu nimejaribu kila mbinu lakini hakitaki so nimekiacha wakati wengine hawafungi tumbo na wanakula balaa lakini hawapati vitambi wala nini mwingine hali kihivyo ana kitambi hata kabla hajazaa.
 
Ukitoka utoe maelezo ya kwanini unatoka, na ukirudi useme kwanini umewahi ama kuchelewa kurudi

Na hata ukitoa maelezo ya unapoenda yanahojiwa, kwanini unakutana sana na kina fulani (walevi?), na hata ukisema kuwa unakutana nao kwakuwa na wewe ni mlevi hataki kukubali kwakuwa atajiona low kuolewa na mlevi

Siku hizi midume tunatakiwa kutoa maelezo kuliko watoto wanavyotoa maelezo kwa wazazi, wala kuliko washtakiwa wanavyotoa maelezo polisi

kweli ndoa ndoano

Partner, come this way!
 
Back
Top Bottom