How to be a good partner...?

solution: Kata ze mtungi sanaa; ktk sita kwa sita-shusha kipondo havi;asubuhi- acha mshiko ndani afu potea zako ktk misele ya maisha!!wamama wana kamusi za kila maneno vichwani mwao:
LOL... hii advaisi ni platinum aisee

dah.. ngoja nijaribu, kikiniwakia tu nakutafutia ban:eyeroll1:
 
we acha tu, kusikiliza ni lazima wewe usikilize ila yeye anachagua cha kusikiliza... na usiposema anasema sasa mbona huongei, ukiongea anasema sina muda wa kusikiliza

you may think this is a game, but surely wapo watu kama hao

nyie acheni tu

Nawaonea huruma wale wote wanaodondokea kwenye partnerships za dizaini hizi na wasijue watatokaje ama watawekaje mambo sawa, kama Acid....lol.
Ila kwa kesi kama hii ni bora kumuignore tu mana kila ufananyacho inakua nongwa.
 
kweli kabisa mkuu

siku hizi uhuru wako unashikiliwa na mamsapu, watoto, wazazi, mkoloni, bar, ndugu, rafiki na hata mpango wa kando...:smile-big:

Uhuru na kazi....kazi na uhuru....
 
Nawaonea huruma wale wote wanaodondokea kwenye partnerships za dizaini hizi na wasijue watatokaje ama watawekaje mambo sawa, kama Acid....lol.
Ila kwa kesi kama hii ni bora kumuignore tu mana kila ufananyacho inakua nongwa.
nyooooo, sasa ignore uone... utakuta kesho asubuhi wazazi wako na wakwake wapo sebuleni wameshika mashavu, na keshakwambia haachwi n'tu
 
dawa hapo ni kurudi uko masanga deile... watachapa lapa wenyewe?!
 
Wadau

Kuna jambo linanisumbua kweli wiki hii... I hvae been asking myself juma jumla sana, how to be a good partner??
Tengeneza urafiki nae.....share nae mambo unayokutana nayo kwenye mizunguko yako ya siku...kua muwazi...onyesha kujali na upendo unaojitosheleza...heshimu....shukuru...n.k

Nauliza hivi kwa sababu ukisoma humu, ukisikiliza kitaa na hata nyumbani, inaonekana ni vigumu sana kuwa a good partner...

kwa wababa
Utaambiwa simu yako inaita kila wakati
Mkiwa pamoja jaribu kupunguza matumizi na wakati mwingine kumjulisha nani alikua anapiga inasaidia kuondoa kero kwake. kwasababu inaondoa wasiwasi!

jana umechelwa kurudi
Toa taarifa mapema hivyo hawezi kukwambia jana ulichelewa wakati tayari alikua anajua utachelewa.

hivi wewe mbona hutokagi nje kutembea kama wenzako?
Hapo ni kama anakupa ruhusa ya kutoka ukijiskia...usijione kama unalazimika kuwepo nyumbani muda wote!

watoto wanataka wewe ndio uwapeleke shule
Sio kama yeye hawezi au hataki ila anataka uwe karibu na watoto...inaongeza upendo kutoka kwake na watoto wanafurahi kua nna kitu ambacho wanafanya na baba especially kama muda mwingi unakua haupo.Hapo hata siku usipowapeleka wewe watauliza kwahiyo unakua umetengeneza bond fulani na wanao.

nimeona sms ya msichana kwenye simu yako
Ukiwa na tabia ya kumwambia mambo/watu unaokutana nao hata hiyo anaweza kuona sio muhimu sana.Muhimu hapa ni uwe muaminifu....kama sio mpango wa kando mpe maelezo kabla hajaona iwapo msg yenyewe ina utata!

una wivu sana
Hapa sasa inabidi uwe mjanja.....kumpangia mtu aongee na nani...aende na asiende wapi ni kumcontroll na sio wivu.Wivu unaonesha kutopendezwa na kitu na unaomba kwa ustaarabu asifanye!!Usimfanye ajiskie unamwamulia mambo ila unampa nafasi ya yeye kuamua kwa kujali hisia zako!!

mbona hunionei wivu
Kumuonyesha mtu unajali anavaa vipi anapoenda wapi na kuonana na nani ni wivu tosha!!

nikivaa hivi itakuaje
Kumwambia hutapendeza utakua unaharibu.Unachotakiwa kufanya ni kucompare ile unayoona haitompendeza na ile unayoikubali wewe....''Mpenzi ukivaa ile skinjeans yako na hiyo top utapendeza zaidi kuliko hiyo suruali ya kitambaa''...''Ila mi naipenda hii!!'' ....''Basi bwana kama hutaki ila mi naona utapendeza zaidi na SJ'' Hapo hutopata lawama and chances are atachagua uliyopendekeza wewe.

sipendi unikosoe nguo niliyovaa hata kama huipendi mimi naipenda
Kwa mara nyingine kusema hiyo nguo ni mbaya sio solution....cheza na akili yake.

hiki kitambi ni changu wewe kinakusumbua nini?
Hapo pana kazi.....usikimbilie kumwambia jinsi gani kina mchukiza ila jinsi gani anapendeza ZAIDI bila.Na hii ni nzuri kuongelea kwenye hali ya utani na mwenzio akiwa kwenye mood nzuri!Sio mtu kaboreka alafu unamwambia ''mama nanii hicho kitambi embu punguza bwana'' utalala njaa!!.

usiongee na wanawake wengine kazini
Kama atawajua hao wanawake kupitia kwako hakutokua na tatizo...wengine atawaona wa maana wengine vituko na hatajali sana ukiongea nao maana unashare nae unayosikia huko...ila usiwe mmbea just make sure anajua mnayoongea.

hivi wewe huna rafiki?
Hii ni kwa faida yako mwenyewe....anachomaanisha hapo ni kwamba ''jamani sio lazima uwepo nyumbani muda wote....I don't mind you going out with your friends once in a while....as long as unakumbuka majukumu yako ya nyumbani.

unakunywa sana
Weekend nyingine potezea...especially kama uko nyumbani...make it a family day instead of a drinking day!!!Usiwe kila siku wewe bwii!!

mbona leo hujanywa kabisa unaumwa?
Yote ni mazoea...ukimzoesha unalewa kila siku usipolewa lazima ashangae....kua na balance!

na mambo kadha wa kadha

nisaidieni wanataaluma wa mapenzi
 
kimeniwakia aisee.... sijui itakuaje wiki hii na nilivyo na hamu ya vikao

Kwa kweli whoever is she, kwa hii nidhamu uliyoionyesha hapa, she should be thankful and glorify her GOD.....Mwanaume mwingine ukimwashia moto badala ya kuwaza atavimisije vikao kama Acid hapa..ndio kwanza atawaza muda wa kuongezea ili vikao viishe late achelewe kurudi.

Kamanda, whatever is happening just be calm........... then after the storm passes sit down with her and reassure her of your love na kumfanya ajiamini kuwa yeye ndo chaguo lako, yeye ndo mipango yote ya nje na mizima.................and you stop giving her reasons za kumfanya ahisi unagawa penzi lake!!
 
i chose to be weird, nimeambiwa sieleweki... a man needs to be clearly understood by everyone... hata bar unayokunywa ni vizuri ijulikane maana watu wabaya watapata tabu kukudhuru sehemu unayofahamika, and a few moment later nikaambiwa hivi wewe ile bar una shares zako pale?

waweza ambiwa mbona unanenepa sana? nani tena huyo ananisaidia... ghafla kesho unaambiwa pesa unapeleka wapi mbona unakonda sana??

its hard to be a partner

Duh Kamanda...........now I understand the root of Baby Come Back!!.....how could someone be such confusing partner?? uwii hata kama ni wivu hapana..............!!

Me I say the the road to good partner is TRUST................. kukishakuwa na TRUDT ndani ya nyumba wala simu haitaguswa, ukichelewa hutoulizwa (as long as unatoa taarifa iliyonyooka).

Duh pole sana Kamanda.
 
anaweza akawa rafiki yako lakini bado hakumaanishi kuacha ulalamishi

kuwa good partner haimaniishi kufanya yale anayopenda mwenzako 100 per ivi ukifanya yote wewe utakuwa nani lazima ukubali pia kuwa mtumwa.msikilize rekebisha yale yanyomkera lakini usisahau kuweka makubaliano yale anayoamini na yanayokufurahisha na kuyasimamia

mume anaweza kukuambia chuchuma ukachuchuma na baada ya wiki akakuambia ivi huwa huwezi kukimbia ukaanza kujiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu all in all ni ngumu kumridhisha binadamu

Yani hapo ndo penyewe...nipe tano.
 
we acha tu, kusikiliza ni lazima wewe usikilize ila yeye anachagua cha kusikiliza... na usiposema anasema sasa mbona huongei, ukiongea anasema sina muda wa kusikiliza

you may think this is a game, but surely wapo watu kama hao

nyie acheni tu

Wanawake wanapenda kusikilizwa.
Bila kutoka sana nje ya mada, I give you some hints on how a man can make a woman happy and how a woman can make man happy.

How to Make a Woman Happy
It's not difficult to make a woman happy- a man only needs to be:
a friend, a companion, a lover, a brother, a father, a master, a mentor, a chef, an electrician, a carpenter, a plumber, a mechanic, a decorator, a stylist, a sexologist, a gynecologist, a psychologist, a pest exterminator, a psychiatrist, a healer, a good listener, a smooth talker, an organizer, a good father, very clean, sympathetic, athletic, warm, attentive, gallant, intelligent, funny, creative, tender, strong, understanding, tolerant, prudent, ambitious, capable, courageous, determined, true, dependable, passionate, compassionate,
WITHOUT FORGETTING TO:
give her compliments regularly,
love shopping,
be honest,
be very rich,
not stress her out,
not look at other girls,

AND AT THE SAME TIME, THE MAN MUST ALSO:
give her lots of attention, but expect little yourself,
give her lots of time, especially time for herself,
give her lots of space, never worrying about where she goes

IT IS VERY IMPORTANT:
Never to forget:
birthdays
anniversaries
arrangements she makes

HOW TO MAKE A MAN HAPPY. A woman should:
Show up naked
Bring food and drink

Source:Making a Woman Happy vs Making a Man Happy Gender Differences - Joke from the American Lebanese www.berro.com The Funniest American Website - International Funny Videos Clips Hilarious Jokes Entertaining Pages Interesting Facts Fun Trivia Humor Carto
 
Wadau

Kuna jambo linanisumbua kweli wiki hii... I hvae been asking myself juma jumla sana, how to be a good partner??
Tengeneza urafiki nae.....share nae mambo unayokutana nayo kwenye mizunguko yako ya siku...kua muwazi...onyesha kujali na upendo unaojitosheleza...heshimu....shukuru...n.k

Nauliza hivi kwa sababu ukisoma humu, ukisikiliza kitaa na hata nyumbani, inaonekana ni vigumu sana kuwa a good partner...

kwa wababa
Utaambiwa simu yako inaita kila wakati
Mkiwa pamoja jaribu kupunguza matumizi na wakati mwingine kumjulisha nani alikua anapiga inasaidia kuondoa kero kwake. kwasababu inaondoa wasiwasi!

jana umechelwa kurudi
Toa taarifa mapema hivyo hawezi kukwambia jana ulichelewa wakati tayari alikua anajua utachelewa.

hivi wewe mbona hutokagi nje kutembea kama wenzako?
Hapo ni kama anakupa ruhusa ya kutoka ukijiskia...usijione kama unalazimika kuwepo nyumbani muda wote!

watoto wanataka wewe ndio uwapeleke shule
Sio kama yeye hawezi au hataki ila anataka uwe karibu na watoto...inaongeza upendo kutoka kwake na watoto wanafurahi kua nna kitu ambacho wanafanya na baba especially kama muda mwingi unakua haupo.Hapo hata siku usipowapeleka wewe watauliza kwahiyo unakua umetengeneza bond fulani na wanao.

nimeona sms ya msichana kwenye simu yako
Ukiwa na tabia ya kumwambia mambo/watu unaokutana nao hata hiyo anaweza kuona sio muhimu sana.Muhimu hapa ni uwe muaminifu....kama sio mpango wa kando mpe maelezo kabla hajaona iwapo msg yenyewe ina utata!

una wivu sana
Hapa sasa inabidi uwe mjanja.....kumpangia mtu aongee na nani...aende na asiende wapi ni kumcontroll na sio wivu.Wivu unaonesha kutopendezwa na kitu na unaomba kwa ustaarabu asifanye!!Usimfanye ajiskie unamwamulia mambo ila unampa nafasi ya yeye kuamua kwa kujali hisia zako!!

mbona hunionei wivu
Kumuonyesha mtu unajali anavaa vipi anapoenda wapi na kuonana na nani ni wivu tosha!!

nikivaa hivi itakuaje
Kumwambia hutapendeza utakua unaharibu.Unachotakiwa kufanya ni kucompare ile unayoona haitompendeza na ile unayoikubali wewe....''Mpenzi ukivaa ile skinjeans yako na hiyo top utapendeza zaidi kuliko hiyo suruali ya kitambaa''...''Ila mi naipenda hii!!'' ....''Basi bwana kama hutaki ila mi naona utapendeza zaidi na SJ'' Hapo hutopata lawama and chances are atachagua uliyopendekeza wewe.

sipendi unikosoe nguo niliyovaa hata kama huipendi mimi naipenda
Kwa mara nyingine kusema hiyo nguo ni mbaya sio solution....cheza na akili yake.

hiki kitambi ni changu wewe kinakusumbua nini?
Hapo pana kazi.....usikimbilie kumwambia jinsi gani kina mchukiza ila jinsi gani anapendeza ZAIDI bila.Na hii ni nzuri kuongelea kwenye hali ya utani na mwenzio akiwa kwenye mood nzuri!Sio mtu kaboreka alafu unamwambia ''mama nanii hicho kitambi embu punguza bwana'' utalala njaa!!.

usiongee na wanawake wengine kazini
Kama atawajua hao wanawake kupitia kwako hakutokua na tatizo...wengine atawaona wa maana wengine vituko na hatajali sana ukiongea nao maana unashare nae unayosikia huko...ila usiwe mmbea just make sure anajua mnayoongea.

hivi wewe huna rafiki?
Hii ni kwa faida yako mwenyewe....anachomaanisha hapo ni kwamba ''jamani sio lazima uwepo nyumbani muda wote....I don't mind you going out with your friends once in a while....as long as unakumbuka majukumu yako ya nyumbani.

unakunywa sana
Weekend nyingine potezea...especially kama uko nyumbani...make it a family day instead of a drinking day!!!Usiwe kila siku wewe bwii!!

mbona leo hujanywa kabisa unaumwa?
Yote ni mazoea...ukimzoesha unalewa kila siku usipolewa lazima ashangae....kua na balance!

na mambo kadha wa kadha

nisaidieni wanataaluma wa mapenzi
Lizzy, thanks for nice ushauri nasaha... siwezi kujibu yote ila nakuambia tu... waweza sema lets go out and have fine time atasema leo nimechoka, ok... can we go out to garden and have a nice chat? atasema sijisikii kuzumzia mambo yetu leo... then kesho atakwambia zaidi ya miezi miwili sasa hatujatoka why? btw, hivi mbona hatuongei....

we acha tu
 
Kwa kweli whoever is she, kwa hii nidhamu uliyoionyesha hapa, she should be thankful and glorify her GOD.....Mwanaume mwingine ukimwashia moto badala ya kuwaza atavimisije vikao kama Acid hapa..ndio kwanza atawaza muda wa kuongezea ili vikao viishe late achelewe kurudi.

Kamanda, whatever is happening just be calm........... then after the storm passes sit down with her and reassure her of your love na kumfanya ajiamini kuwa yeye ndo chaguo lako, yeye ndo mipango yote ya nje na mizima.................and you stop giving her reasons za kumfanya ahisi unagawa penzi lake!!
mtu akiamua kuhisi unagawa penzi lake, basi atapata tu sababu, kumbuka we talk to different people everyday.... anaweza hata kusema inaonekana unafuta sms na call zote ili nisijue vimada wako, we endelea tu

its funny when you think of it
 
Wanawake wanapenda kusikilizwa.
Bila kutoka sana nje ya mada, I give you some hints on how a man can make a woman happy and how a woman can make man happy.

How to Make a Woman Happy
It's not difficult to make a woman happy- a man only needs to be:
a friend, a companion, a lover, a brother, a father, a master, a mentor, a chef, an electrician, a carpenter, a plumber, a mechanic, a decorator, a stylist, a sexologist, a gynecologist, a psychologist, a pest exterminator, a psychiatrist, a healer, a good listener, a smooth talker, an organizer, a good father, very clean, sympathetic, athletic, warm, attentive, gallant, intelligent, funny, creative, tender, strong, understanding, tolerant, prudent, ambitious, capable, courageous, determined, true, dependable, passionate, compassionate,
WITHOUT FORGETTING TO:
give her compliments regularly,
love shopping,
be honest,
be very rich,
not stress her out,
not look at other girls,

AND AT THE SAME TIME, THE MAN MUST ALSO:
give her lots of attention, but expect little yourself,
give her lots of time, especially time for herself,
give her lots of space, never worrying about where she goes

IT IS VERY IMPORTANT:
Never to forget:
birthdays
anniversaries
arrangements she makes

HOW TO MAKE A MAN HAPPY. A woman should:
Show up naked
Bring food and drink

Source:Making a Woman Happy vs Making a Man Happy Gender Differences - Joke from the American Lebanese www.berro.com The Funniest American Website - International Funny Videos Clips Hilarious Jokes Entertaining Pages Interesting Facts Fun Trivia Humor Carto
LOL.... umesahahu nyingine, make her believe you went to school with Nelson Mandela, you are a nuclear scientist, you are also the best guitarist in the world.... VIRTUAL WORLD
 
Umenikumbusha stori ya jamaa alirudi home saa 6 usiku wife akalalamika kesho yake akarudi saa nane wife akaongea sana na kugombana juu yake siku iliyofuata akarudi saa 9 usiku siku hiyo akakuta wife amenuna ile mbaya hata kumsemesha hataki the next day jamaa akarudi saa nne usiku akaulizwa swali kwanini leo umewahi kurudi nyumbani?
 
I thank thee my Dear Lord, that I married my friend. A real friend!
 
wake zetu wote ni rafiki zetu... ila kumbuka hata marafiki tuna gubu zetu... umesahau ngumi jiwe?
 
Hahahaha.......

Ngumi jiwe kwa real friend? Afu wewe bana na masredi yako haya utatufanya tuanze kukuogopa kwa hisani ya shemeji yetu....Danganya toto kula kande mbichi tu hapa!
 
Back
Top Bottom