Housegirl kufanya kila kitu

Msaada ni muhimu kwa hawa watu kwamfano mie nimejiwekea kufua nguo zangu za mwanangu na mume wangu yeye hafui kabisaa tangu amekuja mwaka wa pili sasa,na kupika jioni ama mchana nikiwepo ni mie na kumuhudumia mtotot nikiwepo home,,,lakini vyombo sioshi kabisaa
 
Ndo zenu wanaume wa kibongo kujitia mnahuruma kwa mabeki tatu, mbona wake zenu hamuwaonei huruma hamna lolote mnataka papuchi za mabeki tu kwa mwamvuli wa huruma
hayo mambo wanayo wanaume wa Dar tuu wengine tutake radhi tafadhar!
 
Hahahahaa nimecheka sana. Hapo ni swala la busara na upendo tu sio swala la mshahara wala nini, na siku zote wewe kama nwanaume huwezi kutegemea mshahara wa mkeo, mke mwema atapata kipato na kitakuokoa maana kuna siku utakwama hapa wife kama amejaaliwa anaplay part.
Cha ajabu wengine hata husband akikwama yeye anabana tu ndio hapo baadhi yetu wanaume tunashangaa na kulalamika.
Kuna jamaa yangu mpaka aliachana na mke wake kisa ,mke anabana mpaka anashindwa kununua sabuni ya mtoto,nakumbuka sikuhiyo nilijaribu kusuruhisha lakini wapi.Jamaa sasa kaoa mke mwingine ndoa imetulia kama maji ya mtungi.
 
Binafsi mi sina dada wa kazi mpk ss coz nimeolewa na sina mtt. Ila ukishapata mtt na uko kazini dada lazima. Na wanaume lzm mjiongeze na mpunguze utemi. Haiwezekani nikipata mshahara unasema tushee majukumu. Tunatoka kazini pamoja unataka niingie jikoni. Km ni hvy basi mshahara wako ndo uhudumie nyumba. Kuna post nlioka mkaka analalamika humu mkews hatoi pesa na ana mshahara. Ukimuuliza kama yy anafua au kupika atakwambia sio kazi yake. Kwa nn mnawaonea wanawake hvy?
Mgawanyo wa majukumu. Kwangu HG namlipa kutoka kipato changu na mke wangu siwezi kumuuliza anapata kiasi gani kwani kutunza kaya ni jukumu langu ila usinieleze kwenda jikoni au kupasi n.k.
 
Binafsi mi sina dada wa kazi mpk ss coz nimeolewa na sina mtt. Ila ukishapata mtt na uko kazini dada lazima. Na wanaume lzm mjiongeze na mpunguze utemi. Haiwezekani nikipata mshahara unasema tushee majukumu. Tunatoka kazini pamoja unataka niingie jikoni. Km ni hvy basi mshahara wako ndo uhudumie nyumba. Kuna post nlioka mkaka analalamika humu mkews hatoi pesa na ana mshahara. Ukimuuliza kama yy anafua au kupika atakwambia sio kazi yake. Kwa nn mnawaonea wanawake hvy?
Wanaume tunapenda chakula kilichopikwa na mke na siyo beki tatu
 
Hahahahaaa, kwa maana hiyo uvivu unachangia siyo??
Kabisa, kama unatingwa week days vipi w/end nayo unashindwa kufanya usafi wa maana?

Ni vizuri kutumia w/end mwanamke ushinde home kwajili ya kuangalia familia na shuhuli zote za hapo home. Ikiwa ni pamoja na kumfanyia usafi hubby wako kama kumkata kucha,kumshave na mengineyo
 
Ndo zenu wanaume wa kibongo kujitia mnahuruma kwa mabeki tatu, mbona wake zenu hamuwaonei huruma hamna lolote mnataka papuchi za mabeki tu kwa mwamvuli wa huruma
Kwa uvivu mlio nao ma maza hous , ma HG wata endelea ktafunwa sana, na hapo hamna la kujitetea kwa kweli
 
Ukimtafuna hg kwani ya mkeo inauma au?
Wakati we upo kwenye kiuno cha beki tatu unanukiwa kikwapa mkeo yupo kwenye kifua cha jamaa anaenukia unyunyu hii hata sio fifty fifty hii ni ishirini kwa themanini babu
 
hayo mambo wanayo wanaume wa Dar tuu wengine tutake radhi tafadhar!
Hili la mabeki tatu ni wanaume wote, mwanaume anaemfanya beki tatu mi namuonaga lofa sana
Beki tatu ni uwanja wa mazoezi wa vijana wanaobalehe kama nyumba ina vijana ndo wanaanza kijifunzia kwa beki tatu, sasa baba mzima na msitu wa ndevu eti waenda kumdandia beki tatu ovyooo
 
Huyo itakula kwake mda si mrefu, beki 3 ana mipaka yake chumbani kwangu mwiko kuingia kufua nguo za baba au kumuandalia chakula mwiko, ndo utaratibu tulip jiwekea na mwenzangu
 
Binafsi mi sina dada wa kazi mpk ss coz nimeolewa na sina mtt. Ila ukishapata mtt na uko kazini dada lazima. Na wanaume lzm mjiongeze na mpunguze utemi. Haiwezekani nikipata mshahara unasema tushee majukumu. Tunatoka kazini pamoja unataka niingie jikoni. Km ni hvy basi mshahara wako ndo uhudumie nyumba. Kuna post nlioka mkaka analalamika humu mkews hatoi pesa na ana mshahara. Ukimuuliza kama yy anafua au kupika atakwambia sio kazi yake. Kwa nn mnawaonea wanawake hvy?

Umeeleweka vizuri sana
 
Ukimtafuna hg kwani ya mkeo inauma au?
Wakati we upo kwenye kiuno cha beki tatu unanukiwa kikwapa mkeo yupo kwenye kifua cha jamaa anaenukia unyunyu hii hata sio fifty fifty hii ni ishirini kwa themanini babu
Ha haaa we Eve huna maana hata kidogo lols
 
Kuna jamaa yangu mpaka aliachana na mke wake kisa ,mke anabana mpaka anashindwa kununua sabuni ya mtoto,nakumbuka sikuhiyo nilijaribu kusuruhisha lakini wapi.Jamaa sasa kaoa mke mwingine ndoa imetulia kama maji ya mtungi.
Hawa wenzetu sijui wakoje,.mi nadhani.ni uchoyo tu na roho mbaya, malezi huenda kwenye familua yao kila mtu anajitegemea.
Kuna wengine hadi anajifanyia ubahili mwenyewe.atasikia njaa na hatakula na pesa anayo.
 
Huyo itakula kwake mda si mrefu, beki 3 ana mipaka yake chumbani kwangu mwiko kuingia kufua nguo za baba au kumuandalia chakula mwiko, ndo utaratibu tulip jiwekea na mwenzangu
Umejiwekea utaratibu mzuri so long mko poa na hubby wako
 
Hili la mabeki tatu ni wanaume wote, mwanaume anaemfanya beki tatu mi namuonaga lofa sana
Beki tatu ni uwanja wa mazoezi wa vijana wanaobalehe kama nyumba ina vijana ndo wanaanza kijifunzia kwa beki tatu, sasa baba mzima na msitu wa ndevu eti waenda kumdandia beki tatu ovyooo
Mbona umekuwa mkali sana hadi una deviate maudhui ya sred??
Au hii inakuhusu nini, pole anyways kama mume wako ananjunja mtumishi wa nyumbani na wewe jitafakari chukua hatua.
 
Back
Top Bottom