LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,446
Hudumia mahitaji ya ndani bwn,kwani tatzo liko wapi...Mimi ndo nilietoe hiyo post kwamba mke wangu hafanyi kitu wakati ana mshahara ,maana yangu haikuwa tugawane majukumu nusu kwa nusu sivyo wala haiwezekani kwa sababu mimi ndo nilie oa,nilichokuwa namaanisha ni kwamba ,mwanamke inatakiwa achangie kwenye mambo madogomadogo ,mfano unakuta mimi sipo nyumbani na labda sukari imeisha ,unaporudi kazini anakuambie sukari imeisha naomba hela nikanunu wakati yeye kapata mshahara Jana ,hapa ndipo ninapoahangaa iweje aniombe mimi pesa ya kitu kidogo kama hicho wakati mshahara anao?