HOUSE GIRL - MWIZI & MCHAWI ; True story!

Fazaa hebu tuwekee na maandiko ya kiswahili wengi tuelewe
nimeipenda verse yako
cha msingi ni kuwa na imani na uchaji mda wote
Na wakafuata yale waliyozua Mashaytwaan kuuzulia ufalme wa Sulaymaan. Na wala Sulaymaan hakukufuru, bali Mashaytwaan ndio waliokufuru, wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyoteremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru. Wakajifunza kwa hao wawili yale ya kumfarikisha mtu na mkewe. Wala hawawezi kumdhuru mtu ila kwa kutaka Allaah. Na wanajifunza yatayo wadhuru wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba aliye khiari haya hatakuwa na fungu lolote katika Akhera. Na hakika ni kiovu mno walichojiuzia nafsi zao laiti wangelijua.(al-Baqarah [2]: 102).
 
sura al-baqarah ni sura ya ngapi? nithibitishe
Ndugu hivi hujaona hapo juu haya na rudia tena Baqarah 102-103

102- AND THEY FOLLOWED WHAT THE DEVILS SAY ABOUT THE KINGDOM OF SOLIMAN. SOLIMAN DID NOT DISBELIEVE, BUT THE DEVILS DID. THEY TEACH PEOPLE BLACK MAGIC AND WHAT WAS SENT DOWN UPON THE ANGELS IN BABYLON; HAROUT AND MAROUT. THEY DO NOT TEACH ANYONE WITHOUT SAYING: "WE ARE BUT A TEMPTATION, DO NOT DISBELIEF". THEY LEARN FROM THEM WHAT MAY CREATE DISCORD BETWEEN A MAN AND HIS WIFE; HOWEVER IT DOES NOT HARM ANYONE WITHOUT ALLAH'S PERMISSION. THEY LEARN WHAT HARMS AND DO NOT BENEFIT THEM, WHILE THEY KNOW THAT THOSE WHOEVER BUYS IT (WITCHCRAFT), THEY HAVE NO SHARE IN THE HEREAFTER. EVIL IS WHAT THEY SOLD THEIR SOULS FOR, HAD THEY KNOWN.
103- HAD THEY BELIEVED, AND BECOME PIOUS, ALLAH'S REWARD WOULD HAVE BEEN BETTER FOR THEM, IF THEY KNOW.
 
Back
Top Bottom