Mimba isiyotarajiwa

dej

Member
Oct 8, 2016
42
113
Wanajamvi habarini na kheri ya mwaka mpya.

Bila kupoteza mda, mwanzoni mwa mwaka jana nilikutana na binti mmoja age ya 21 had 23 hivi. Katika harakati za kazi yule binti akaonesha kunielewa sana, kama tunavojijua baadhi ya wanaume na udhaifu mwingi, kondoo ikijileta tu hua hatujiulizi mara mbili basi nikapita nae.

Kama baada ya mwez akanambia ana ujauzito wangu. Kumwambia atoe nikaogopa basi nikamuacha hadi last week (december) akajifungua.

Binti anataka nimuoe kiukweli mimi sikua na mpango nae hata kidogo. Na toka kipindi najuana nae nilimwambia kwel kua mi sina future nae coz nko na mahusiano mengine, but nilikua namsapoti kwa kila stage hadi anajifungua.

Changamoto ni kwamba mi naishi Dodoma kikazi na mchumba wangu Ambae niko serious nae yuko Dar.

Naombeni experience kwenye hii issue
 
Wanajamvi habarini na kheri ya mwaka mpya.
Kama baada ya mwez akanambia ana ujauzito wangu. Kumwambia atoe nikaogopa basi nikamuacha hadi last week akajifungua. Binti anataka nimuoe kiukweli mimi sikua na mpango nae hata kidogo. Na kipindi chote cha mimba nilimwambia kwel kua mi sina future nae but nilikua namsapoti kwa kila stage hadi anajifungua.

Changamoto ni kwamba mi naishi Dodoma kikazi na mchumba wangu Ambae niko serious nae yuko Dar.

Naombeni experience kwenye hii issue

Kumwambia atoe nikaogopa basi nikamuacha hadi last week akajifungua
🤔🤔 Aise...
 
Kila siku mnatukana single mama hapa ndani. Ukweli single mama hawaibuki tu from no where, ni zao la wanaume wabinafsi na makatili kama wewe.
Unakwenda kuharibu future ya binti wa watu. Kaa chini imagine huyo binti angekuwa mwanao au Dada yako, ni maumivu gani ungepitia kuona anatendewa haya.
Hakuna wa kukulazimisha kumuoa huyo binti, ila kaa ukijua, na lala ukitambua umeharibu future yake.
USHAURI
1. Wazazi, tutumie muda wetu kuongea na mabint zetu kuwaeleza ukweli juu ya madhara ya kubeba mimba kabla ya ndoa.
2. Mabinti, jitambueni. Vishawishi vipo, ila tumieni akili.
3. Wanaume, kama hauna future na mtoto wa mtu usimuharibie maisha yake. Karma ipo.
*nikiwa kama mama niliye na binti, nimeumia kama huyu binti ni wangu.
 
Duh umeongea ukweli sana mama.
Ntakuwa makini sana nisije haribu ndoto za mtoto wa mtu.
 
Kila siku mnatukana single mama hapa ndani. Ukweli single mama hawaibuki tu from no where, ni zao la wanaume wabinafsi na makatili kama wewe.
Unakwenda kuharibu future ya binti wa watu. Kaa chini imagine huyo binti angekuwa mwanao au Dada yako, ni maumivu gani ungepitia kuona anatendewa haya.
Hakuna wa kukulazimisha kumuoa huyo binti, ila kaa ukijua, na lala ukitambua umeharibu future yake.
USHAURI
1. Wazazi, tutumie muda wetu kuongea na mabint zetu kuwaeleza ukweli juu ya madhara ya kubeba mimba kabla ya ndoa.
2. Mabinti, jitambueni. Vishawishi vipo, ila tumieni akili.
3. Wanaume, kama hauna future na mtoto wa mtu usimuharibie maisha yake. Karma ipo.
*nikiwa kama mama niliye na binti, nimeumia kama huyu binti ni wangu.
Na huyo binti kama anajali future yake kwa nini agawe hiyo Mbususu?

Binti wa miaka 21-23,

Je Hakujua kwamba anapaswa kufocus na ndoto zake?

Je Hakujua kwamba anapaswa kutumia kinga?

Je Hakujua kwamba yupo kwenye siku zake za hatari kushika mimba?

Nasema hivi..

KATAA SINGLE MAZA.

SINGLE MAZA NI LAANA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom