Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

kushinda nilijua chadema watashinda lakini hofu yangu ilikua kwenye tume na huyo msimamizi wa uchaguzi nampongeza sana kwa kuchagu ukweli na kujitenga na ufisada alunta kontinua
 
Ameni!
Hakika nimefurahi kuona mapinduzi yakiendelea, Hongereni wanamapinduzi wa ukweli.



daaah.......!
kiukweli nina furaha. nina furaha ya ajabu.
nimewapenda sna wameru. Hongera Joshua, hongera meru, hongera chadema, hongereni wana mapinduzi.
naipenda sana hii nchi. nawapenda sana wanaoipenda hii nchi.
Mungu aibariki nchi yetu.
 
Ni kweli - Mungu akifungua mlango hakuna wa kufunga. Mungu akisema NDIO hakuna wa kusema HAPANDA

CDM walianza na Mungu akasema NDIO .........na kweli imekuwa NDIO. Hongera Mbunge wa Arumeru - j. Nassari - Hontera wote waliofanya kampeni - Hongera wote mliofanya mipango kufanikisha .....Hontgera wote mliotoa michango yenu ya Hali na Mali ........ Blessings
 
[SUP]1[/SUP] God said to Joshua, "Don't be timid and don't so much as hesitate. Take all your soldiers with you and go back to Ai. I have turned the king of Ai over to you-his people, his city, and his land.
 
Jamani asubuhi nimekuta katika TBC Mh. Mbunge mteule Joshua Nasari akizungumza mara baada ya matokeo kutangazwa rasmi. Wadau kwa anayeweza kutukumbusha alisema nini? Please post tuyaone.
 
Hkika hakuna cha kuipinga nguvu ya uma! wamesemea sana na wakamptozea muda mzee mkapa, wakamleta lowasa, lakin hatimaye MUNGU AMEBAKI KUWA MUNGU NA SAUTI YAWATU NI SAUTI YA MUNGU...................
Hii ni salamu kwa wataznia wote waliologwa kwa sera za magamba.
CHADEMA NDO TEGEMEO LETU....HAKUNA WA KULIPINGA HILI....WATASEMA SANA LAKINI watu wanatukubali

PEOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEES POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hawa wanajua madhambi waliyofanya hivyo wanaogopa sana mabadiliko kibao kisijegeuka. Wala hawajatumwa ni kujipendekeza kwao kulinda ufisadi walio-engineer.

Nani asiyejua Mkapa ndie chanzo cha mafisadi wanaotutesa?????????
 
Mungu akiwa upande wetu nani yuko juu yetu? Hongera sana kamanda NASSARI
 
Nawapongeza wameru kwa kufanya maamuzi sahihi ya kuikataa ccm. Furaha yangu kubwa si ushindi wa chadema bali kushindwa kwa ccm.
Hongera nassari,
hongera chadema,
hongera wanamapinduzi wote tanzania popote walipo.
Nassari fanya kazi bila kuangalia vikwazo watakavyoweka, hata ukikwama wananchi watajua ulithubutu wakakuwekea mizengwe.
Mungu uliyemtegemea wakati wa kampeni umtegemee pia katika wakati huu muhimu wa kuuthibitishia umma wa watanzania hasa wameru kuwa ulistahili nafasi hiyo.
Mungu ibariki tanzania.
 
Hongera Nassari. sasa ukatafute suti kwa ajili ya kuapishwa. Siku utapoapishwa hakika WaTZ wote wataangalia kipindi cha bunge.

Ukiweza, uvae lile rubega la kimeru na uwe na kile kifimbo chako.

Mwisho - huu ushindi uwe ndiyo mwanzo wa kazi. Wananchi wa Arumeru wanategemea mengi kutoka kwako

Zaidi ya yote,

Kumkumbuka Mungu siku ya Ushindi ni jambo jema sana.

Daudi alipokuwa kijana mdogo alimtegemea Mungu akawashinda simba na dubu walionyemelea kondoo.
Lakini aliendelea kumtegemea Mungu zaidi hadi siku moja akaliangusha jitu kubwa - Goliath !

Umeanza vizuri, uendelee hivyo hivyo.

 
Asante sana Mungu kwa kusikia kilio chetu, hongera kamanda Nasari na chadema wote kwa ujumla. Tukaze buti 2015 chadema iibuke kidedea kwenye urais. Peoplez power
 
CDM have the challenge to prepare more young MBs for 2015 election, Yes it is a M4C. Wazee wabakie kwenye nafasi za juu sana lakini si za kufukuzana na vijana. Vivyo vivyo na sekta zingine, CDM has made my day!! I love you CDM.
 

Taifa lina vipaji vingi, lina rasilimali watu wengi, lina vijana wenye uwezo mkubwa kabisa si kama akina Lusinde, Linatumia gharama kubw akusomesha watu ili walitumikie, lakini kutokana na mfumo mbovu wa chama kilichopo madarakani, basi vipaji hivyo huishia kuwa-stressed na hatimaye kukimbilia ng'ambo na kujikuta taifa linapiga maktaimu na watoto wa vigogoni kila wakati, huku sehemu kubwa ya watanzania wakikosa kitu kidogo, mwongozi na maelekezo ya nini kianze na kimalizikie nini. M4C
 
Back
Top Bottom