Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
ameanza kwa kumtaja mungu kuwa walianza na Mungu na sasa wamemaliza na Mungu, wako waliomtukana kuwa hajaoa lakini wameru wakampa kura kwa kuwa haendi kusuluhisha kesi za ndoa, wako waliosema yeye ni maskini lakini wameru wamempa kura maskini mwenzao, wako waliohonga sana, lakini wameru wameamua kuchagua haki ....angalia TBC live
 
daaah.......!
kiukweli nina furaha. nina furaha ya ajabu.
nimewapenda sna wameru. Hongera Joshua, hongera meru, hongera chadema, hongereni wana mapinduzi.
naipenda sana hii nchi. nawapenda sana wanaoipenda hii nchi.
Mungu aibariki nchi yetu.
 
mungu ampe nguvu aweze kuliwakilisha jimbo la Arumeru kwa mapenzi yake yote, ni jambo la kumshukuru mungu kuwa amesikia kilio cha wameru na watanzania kwa ujumla, kazi iliyo baki ni 2015 kuikomboa nchi hii
 
M4C.jpg This is called Movement for Change!!
 
ameanza kwa kumtaja mungu kuwa walianza na Mungu na sasa wamemaliza na Mungu, wako waliomtukana kuwa hajaoa lakini wameru wakampa kura kwa kuwa haendi kusuluhisha kesi za ndoa, wako waliosema yeye ni maskini lakini wameru wamempa kura maskini mwenzao, wako waliohonga sana, lakini wameru wameamua kuchagua haki ....angalia TBC live

Mungu ni wetu hayupo na mafisadi yazidishe wizi. POEPLEZZZ POWEEER FOREVER,
 
safi sn CDM Mungu yu pamoja na waja wake 2015 sio mbali tusibweteke tuchukue nchi Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer . Hure sana

Tumekesha kulinda haki ze2 na mungu ametuwezesha tumezipata pamoja na ccm kuleta vurugu za hapa napale.tumemaliza awamu hii muhm.ila sasa hakuna kusherehekea ushindi tunawataka polisi kuwatoa vijana wetu kwanza.
 
Hongera Nassari. sasa ukatafute suti kwa ajili ya kuapishwa. Siku utapoapishwa hakika WaTZ wote wataangalia kipindi cha bunge.

Ukiweza, uvae lile rubega la kimeru na uwe na kile kifimbo chako.

Mwisho - huu ushindi uwe ndiyo mwanzo wa kazi. Wananchi wa Arumeru wanategemea mengi kutoka kwako
 
ameanza kwa kumtaja mungu kuwa walianza na Mungu na sasa wamemaliza na Mungu, wako waliomtukana kuwa hajaoa lakini wameru wakampa kura kwa kuwa haendi kusuluhisha kesi za ndoa, wako waliosema yeye ni maskini lakini wameru wamempa kura maskini mwenzao, wako waliohonga sana, lakini wameru wameamua kuchagua haki ....angalia TBC live

hapo kwenye red ndo umeharibu kila kitu. Sasa wewe unafikili kila mwanajf anaangalia hilo lichaneli la kijinga hivo? Ukitaja TBC mimi napata kifua kikuuu huku bana! kwa taarifa yako nina miaka 3 sijawahi kuiangalia hio tbccm
 
Mod tuwekee tuone member wote wanao browse hii thread naona unawaficha wakina rejao ritz na mama porojo bila kumsahau radhia sweety ushindi ni dhahiri Leo nitapiga mzigo mpaka boss akimbie
 
Back
Top Bottom