Hongereni sana Azam Media kwa Mapinduzi ya Tasni ya Habari Nchini

mazaga one

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,463
3,934
Hakika nyie ni magwiji, Watanzania tunajivunia nyie kwa Sasa. Hongereni pia kwa kutoa vipaji vingi vinavyoenda tumika mahala pengine na vingine vinavyotumika mpaka sasa.


Azam Media🙌🏻

👉🏻 Ahmedy Ally from Azam to Simba.

👉🏻 Ally Mayai from Azam to wizarani.

👉🏻 Charles Hillary from Azam to Ikulu - Zanzibar.

👉🏻 Ally Kamwe from Azam to Yanga.

👉🏻 Fatma Nyangasa from Azam to Kigamboni (Mkuu wa Wilaya).

Hakika mmetisha na mnazidi kutisha.
 
Hakika nyie ni magwiji, Watanzania tunajivunia nyie kwa Sasa.Hongereni pia kwa kutoa vipaji vingi vinavyoenda tumika Mahala pengine na vingine vinavyotumika mpaka Sasa.


Azam Media🙌🏻

👉🏻Ahmedy Ally from Azam to Simba.

👉🏻Ally Mayay from Azam to wizarani.

👉🏻Charles Hillary from Azam to Ikulu-Zanzibar.

👉🏻Ally Kamwe from Azam to Yanga .

👉🏻Fatma Nyangasa from Azam to Kigamboni (Mkuu wa Wilaya)

Hakika mmetisha na mnazidi kutisha.
Ondoa Charles Hillary hapo, huwezi kumuweke kwenye list ya waliopikwa na Azam media. Huyo alipikwa keshaiva siku nyingi, hao kina Ally kamwe wako sawa, ongezea na manara (joke)
 
Back
Top Bottom