Hongera Lowassa, Hongera CCM kwa kukata ngebe

Ninaamini 100% sio wewe unaezungumza haya! hakuna tija yoyote kuwagusa watumishi wa Mungu,bali ni kutafuta laana tu! hata jina unalotumia latosha kukukumbusha kuwa you are driving along the wrong road.

TB Joshua yule mchawi aneyewachezea wajinga kwa mazingaumbwe ya mafuta ya mizaituni basi mnafurika kwenda kuangalia maigizo.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tatizo lako ubongo wako mpaka tuufinye ndio uamke. Tatizo lako ninaweza nikafananisha na vitu viwili huenda umekariri au umefumbwa macho.
Tafakari.
Hivi mtumishi wa umma hawezi kuwa na shamba? hawezi kufuga? ukinijubu hapo basi utakuwa umemaliza yote.
Tujadili tu hoja iliyo mbele yetu bila jazba. Utajiri wa Lowasa sio wa shamba na kuku. Hata wewe unayemtetea unajua. Nijibu hoja yangu kikamilifu: Ni nini kilimwondoa Lowasa wetu mapema tu kwenye kinyang'anyiro kile cha URAIS mwaka 1995?
 
Kwa maeno yako hayo basi hakuna anayestahili ndani ya magamba kupewa ridhaa na Watanzania ili ashike dola maana wote ni wachafu na utajiri wao umepatikana kwa njia za haramu kupitia mikataba feki au kuiba kwa njia moja au nyingine pesa za walipa kodi. Fisadi Lowassa HATUFAI!!

Mkuu Mwakyomwango, ni kweli EL ana mali nyingi kwa kiwango cha Mwalimu by then. Je, utapenda nikuorodheshee mali walizonazo hao viongoozi wa baada ya Mwalimu ili tuzilinganishe?.

Una taarifa by the time Mr. Clean anaondoka, Mwalimu angekuwepo, angeozea Segerea? Unazijua mali za Rukhsa? Au nikutajie mpaka mali za Dhaifu?.

Kwa kigezo cha mali CCM hakuna msafi. Uchafu valid ni wa Richmond ila hilo ni zigo la mtu tuu, yeye ni mbebaji tu, muda muafaka ukifika, atalitua zigo hilo na mtamtambua mwenye zigo lake.

P.
 
Tujadili tu hoja iliyo mbele yetu bila jazba. Utajiri wa Lowasa sio wa shamba na kuku. Hata wewe unayemtetea unajua. Nijibu hoja yangu kikamilifu: Ni nini kilimwondoa Lowasa wetu mapema tu kwenye kinyang'anyiro kile cha URAIS mwaka 1995?
Mimi sina Jazba naomba unijibu hiki
Ni nini kilimuondoa Mbowe katika kinyang`anyilo cha uraisi mapema 2010?
Ni nini kilimuondo Zitto katika kinyang`anyilo cha uwenyekiti wa CDM?
Ukijibu kwa ufasaha nitakujibu vizuri.
 
Hivi CDM hakuna mtu mwingine kijana msafi mwenye nguvu, mbunifu anayekubaliki ambaye mnaweza kumuandaa kugombea urais 2015 zaidi ya Slaa? Lakini huenda yakatimia maa maana mkisukumwa na ulevi tu ulevi wa madaraka mkamuweka Slaa kuwa mgombea utabiri wa CDM chama cha msimu utatimia maana wananchi wanamjua fika kwa kashfa ya kuishi kinyumba na mke wa mtu hivo CCM njia itakuwa rahisi mno.
I hate stupid people like you! kwa nn! umeleta mada ya lowassa tunaijadili unarukia slaa na urais na nyumba ndogo! wewe upo JF kwa bahati mbaya na kwa kuwa JF even fools and stupid people like you are given chance otherwise kungekuwa na mchujo usingepenya!!
 
Mimi sina Jazba naomba unijibu hiki
Ni nini kilimuondoa Mbowe katika kinyang`anyilo cha uraisi mapema 2010?
Ni nini kilimuondo Zitto katika kinyang`anyilo cha uwenyekiti wa CDM?
Ukijibu kwa ufasaha nitakujibu vizuri.
ukiulizwa swali jibu ndio uulize lako,ila ukiulizwa na wewe ukauliza you fit to be a stupid person!!
 
Ninaamini 100% sio wewe unaezungumza haya! hakuna tija yoyote kuwagusa watumishi wa Mungu,bali ni kutafuta laana tu! hata jina unalotumia latosha kukukumbusha kuwa you are driving along the wrong road.

Maandiko yapo wazi kuwa watatokea na manabii wa uwongo! watakuwa na nguvu nyingi hata wataweza kushusha moto toka juu, sio kila anayefanya muujiza ni mtumishi wa mungu!!nabii Joshua??? mh!!!!take care!
 
ukiulizwa swali jibu ndio uulize lako,ila ukiulizwa na wewe ukauliza you fit to be a stupid person!!
Ahsante wewe sio Stupid.
Sikia Majibu mengine yapo kwenye maswali.
Mfano: Why are you eating this? anakujibu Why not?
 
an
Ahsante wewe sio Stupid.
Sikia Majibu mengine yapo kwenye maswali.
Mfano: Why are you eating this? anakujibu Why not?

anayejibu au kuuliza swali juu ya swali he/she as stupid as yourself!!
 
an

anayejibu au kuuliza swali juu ya swali he/she as stupid as yourself!!
Jazba ya nini acha ukali kitu gani kimekukasilisha? Pole pole.

1. Kumbuka wagombea uraisi wakati huo walikuwa wanapendekezwa from Usalama wa Taifa.
2. Mtei walihitirafiana na Nyerere katika masuala fulani fulani na mtei akaamua kuachia ngazi,vilevile kwa Lowassa ilikuwa ni personal interest ya Nyerere wakati ule kuwa Kikwete awe raisi lakini kwa sababu UWT walikuwa wamemuandaa Mkapa basi mkapa akiteuliwa kugombea. Nadhani unanielewa mpaka hapo. Kumbuka wakati ule Lowassa alikuwa yuko ndani ya CCM na Nyerere akiwamo. Kama angekuwa Lowassa Mchafu so angeondolewa kwenye chama na Nyerere mwenyewe.

Isitoshe Lowassa alikuwa na cheo kikubwa tu ndani ya chama na serikali. Mimi ninajiuliza watu wanapokomalia hili hawatumii hata akili kidogo.

Mfano akina Kambona waliondolewa kwenye chama kabisa.
Lowassa ni Matunda mazuri ya Nyerere yaliyopikwa yakaiva. wameiva kisiasa wanaujuzi na nchi yetu.
 
Me naona ungesubiri yatimie na yakitimia umpe hongera mungu kwa kutenda aliyoyapanga kama ulivyonena.
Otherwise Lowasa na ccm kwa ujumla wameshaoza kabla hawajafa.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Nashangaa sana watu wanoa ona kila kitu ni mapenzi ya Mungu. Tunaacha kufikiri na kufanya kazi tukisingizia kuwa kama Mungu amepanga uwe maskini utakuwa, huu ni upuuuuuzi.
 
mungu yupi unayemwongrle wewe??labda mungu wa fremanson,kule kwa tb joshua.

Mungu anaeishi na kutawala milele na milele akusamehe. Wamfahamu anayemtumikia Joshua hadi umshirikishe na freemansons? Unachefua jukwaa
 
Nape na kambi yake ya upambanaji hewa, ndio watakaolia na kusaga meno kwa kufanikiwa Lowasa na kambi yake ya mafisadi.
Kwa upande wa ccm kama timu ni kwamba wameshaondoshwa kabisa katika mioyo ya wa-Tz. Hapo walipo ni dola tu imewashikilia lakini kimsingi ni wafu.
.
 
Lowassa atakuwa Rais wa ccm siyo wa Tanzania.Inawezekana kwa upande wa chama chao akawa ndiye mtu pekee anaewafaa katika kutunza siri za kuiba fedha za umma kwa maslahi ya chama.
 
Maneno ya vijiweni nani atasikilza kilaza wewe. Wewe Nyerere mlikutana wapi akakwambia hayo. Wanafiki wooote motoni, maana imeandikwa bora mshenzi kuliko mnafiki kama MAKYOMWANGO (kwetu ni maboga).ahaaaaa boga ww
 
Achana na wajinga unapoteza muda wako bure, usilolijua kama usiku wa kiza. Ninachoweza kuisi ni kuwa hawa watu ni mazuzu EL mtu safi
 
Back
Top Bottom