Hoja za kidini "zateka" maoni ya katiba mpya !

Mbona kuhusu wakristo wanaoshabiki vimini hamusemi? Coz mtoa mada kasema watoa maoni wanatoa hijab zipigwe maarufuku. Lakin hii hamuiyoni bali mumeona wimbo. Semeni basi kama kuna wakristo wanataka hijab maarufuku ili wavae vimini.
Mimi napendekeza katiba mpya iwahimize Waislam kuwapeleka watoto wao shule ili kupunguza ujinga katika jamii !
 
Naona hata hao makamishna wa katiba wana matatizo wanapashwa kutoa elimu kwanza kwa watz waelewe nchi hii haina dini tunachotaka ni maendeleo hata ikibidi tubadili majina yetu yawe ya kienyeji ili kuondoa huu udini unaotusambaratisha! Tutachinjana wenzetu watakuja kuvuna kiulaini.
Kwa hali tuliyonayo hata hizo siku za mapumziko zilitakiwa zisiwepo kwani tunatakiwa tujitume sana ktk nyanja zote ili kumkomboa mtanzania. Umasikinu utaondolewa kwa kila mtu kujituma katika fani zote na huo muda wa kupumzika siuoni. La msingi ili kutuliza akili mapumziko yanatakiwa kwa ratiba fulani siyo Ijumaa au Jumapili. madereva, madaktari na mawasiliano hawafuati ratiba hii. Mwabudu Mungu wako kwa wakati wako atakusikiliza tuu. Chapeni kazi wa tz porojo za nini. Mpaka nafikiria labda jeshi lingechukua madaraka.
 
Watanzania tuwe macho nakipengele cha kuoa wanawake wengi kwa wakati mmoja badala ya mke mmoja katika katiba mpya. Kuoa wake wengi ni hatari. Ni kueneza tu ukimwi. Kama mtu anataka wake wengi akatafute makahaba kwenye mabaa na asituchafulie katiba kwa unzinzi wake.
 
Fafanua zaidi mkuu. Unafikiri ni lipi lifanyike ili kulinusuru taifa letu na hii sumu hatari?
Kwa ushauri wangu, ili kulinusuru taifa letu tuangalie upya kuwa tunawafundisha nini watoto wetu wakiwa sunday school na madrasa??
Tunawafunduisha nini watoto wetu kuhusu upendo dhidi ya jirani/rafiki na hata yeyote aliye karibu yetu??
Baada ya hapo tutajua msingi wa upendo na mshikamano juu ya watanzania unaanzia wapi.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Katiba iwe wazi tu. Isimnyime mtanzania haki ya kuabudu kulingana na mwongozo wa Dini yake. kwani kuna dini ambayo haina mwongozo??
 
Duuu ila ndugu zetu ni noumaaa yani hadi mwimbo wa taifa upo kikristo ni kweli una'sound kama kwaya za kikristo sasa wanataka uwekwe kikaswida au?
Ni aghali wewe umeona ukweli.


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Back
Top Bottom