Hoja: Madhara ya RPC Shana kubaki Arusha yalikuwa ni madogo ukilinganisha na alipopelekwa Chuo cha Mafunzo Polisi

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,283
21,406
Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu!

Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA, Kumpeleka kuwa mkuu wa mafunzo maana yake anaekwenda kuwa mfano wa wanafunzi wa upolisi. Ni Kama vile Kirusi kilikuwa ndani ya Jimbo la Arusha, Sasa kinakwenda kusambaa inchi nzima! Mtakuja kuwalaumu Bure Vijana wataotoka chini ya utawala wake!

JE, ALISTAHILI KUPELEKWA WAPI?

Kamanda Kashana, alistahili kuteuliwa nafas zingine za kisiasa ie; DC, RC au kurejeshwa makao makuuu ya polisi au kuwekwa kikosi maalum Ie; Siraha n.k!

Mbegu atakayokwenda kuipanda kule mtaishuhudia baada ya Mafunzo Uraiani!!

Ni mawazo tu Ngoja TUMWAMINI Anyway!!!
 
Nakumbuka hata Sirro akiwa RPC Mwanza baada ya maandamanoo ya wananchi kua makubwa na watu wakaanza kuchoma magari ya pale Jiji(Mwz) then Sirro aliwataka wamtangaze mshindi ambae ni Wenje(Chadema) kushinda ubunge wa Nyamagana 2010 baada ya hapo nae alirudishwa Makao makuu.
 
Nani kakwambia kuwa ameenda kuwa mkuu was chuo?? Jamaa ameenda kuwa mnadhimu mkuu was chuo Wala sio mkuu was chuo. Kwa cheo hicho ni sawa tuu na msoma magazeti makao makuu.
Jamani sio Afsa rasilimali watu???
 
unayafaham majukumu ya Mnadhimu wa Chuo?
Kwa tafsiri isiyo rasmi ni mkuu wa chuo msaidizi,kafichwa hapo.

Maana kuna mkuu wa mafunzo chuo,mkuu wa nidhamu,mkuu wa mafunzo ya porini,nafasi aliyopo inakuwa active kama mkuu wa chuo anaumwa au yuko likizo.na hana muda wa moja kwa moja kuonana na kuruta,labda kiwatembelea tu.
 
Kamanda anaenda kukimbizana na kruta! Dah! Bora hata makao makuu unaweza kuonekana ukakumbukwa kidogo.
 
...au kurejeshwa makao makuuu ya polisi au kuwekwa kikosi maalum Ie; Siraha n.k!
Hapa ndipo umekosea kabisa ndugu mtanzania, kwanza umesema pale chuo kutatokea uzao wa ajabu kutokana na kuwepo pale, sasa akiwa kitengo cha silaha si ndiyo tutegemee mahafa makubwa mmh!!
 
Nakumbuka hata Sirro akiwa RPC Mwanza baada ya maandamanoo ya wananchi kua makubwa na watu wakaanza kuchoma magari ya pale Jiji(Mwz) then Sirro aliwataka wamtangaze mshindi ambae ni Wenje(Chadema) kushinda ubunge wa Nyamagana 2010 baada ya hapo nae alirudishwa Makao makuu.
Wangemuacha Arusha ili ashirikiane na mkurengezi kuipa ccm ushindi
 
Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana!

Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa!

Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu!

Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA, Kumpeleka kuwa mkuu wa mafunzo maana yake anaekwenda kuwa mfano wa wanafunzi wa upolisi!

Ni Kama vile Kirusi kilikuwa ndani ya Jimbo la Arusha, Sasa kinakwenda kusambaa inchi nzima! Mtakuja kuwalaumu Bure Vijana wataotoka chini ya utawala wake!

JE, ALISTAHILI KUPELEKWA WAPI?

Kamanda Kashana, alistahili kuteuliwa nafas zingine za kisiasa ie; DC, RC au kurejeshwa makao makuuu ya polisi au kuwekwa kikosi maalum Ie; Siraha n.k!

Mbegu atakayokwenda kuipanda kule mtaishuhudia baada ya Mafunzo Uraiani!!

Ni mawazo tu Ngoja TUMWAMINI Anyway!!!
"siraha"
Silaha

Shana ni tmu anakaribia kustafu na pale CCP hajapelekw kuwa mkuu wa chuo, sawa, anakwenda kuwa mtumishi tu, anasubiri kustaafu tu, hana lake tena,
 
Back
Top Bottom