hodihodiií

Afu leo Mgeni mkiva kasema tumpeleke Beach akaogelee,
Naogopa isije ikawa kama ya daimond,
Almanusura azame kwenye swimming pool pale WhiteSands alipokuwa anafundishwa kuzamia majini.

Mwenzenu nayaogopa maji sijawah kuogelea nifunzeni tu nitazoea
 
Last edited by a moderator:
Sijakutana naye bado namsubiri kwa ham japo pia simjui

basi we endelea tu kushinda hapa chit chat, sijui nimuite binti au kijana wa kiume, sijui ni babu au bibi...ila ninachojua anajinsia na tupo naye humu humu chit chat we shika tu hilo jina lake
 
basi we endelea tu kushinda hapa chit chat, sijui nimuite binti au kijana wa kiume, sijui ni babu au bibi...ila ninachojua anajinsia na tupo naye humu humu chit chat we shika tu hilo jina lake

Nimeshalikariri mkuu watu 8
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom