hodihodiií

Hahaaaahhahaha uwiii yan hadi unataka shindwa kunywa chai? Jamani kwelii?

Yule hafai kukaa na watoto wadogo itakua tabu.wewe unamuonaje yule mtu?nahisi atakua amezaliwa enyi zile watu walivyokua wamefanana na sokwe
 
Hehee chezeiya kichapo atapigwa ka naniliu kule iringa

Afu leo Mgeni mkiva kasema tumpeleke Beach akaogelee,
Naogopa isije ikawa kama ya daimond,
Almanusura azame kwenye swimming pool pale WhiteSands alipokuwa anafundishwa kuzamia majini.
 
Last edited by a moderator:
Karibu ukakae paleee acha kupiga story na wake za watu. Au unataka ban au burn?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom