hodihodiií

Karibu sana!
Ukiwa na tatizo lolote la kisheria utaniona!
Warning
usimguse mtu anayeitwa
* Madame B*

kwa utaratibu mwingine wa kukaguliwa kuna mzee anaitwa Aspirin atakuja kukunyia ukaguzi
 
Karibu,
ila tuambie umetokea nyumba gani,
MMU,MK,HM au STRESS?
Ili tujue jinsi ya kukupokea.
 
Karibu sana!
Ukiwa na tatizo lolote la kisheria utaniona!
Warning
usimguse huyu Madame B

kwa utaratibu mwingine wa kukaguliwa kuna mzee anaitwa Aspirin atakuja kukunyia ukaguzi

Ndo hapo ninapokupendea mpenzi wangu.
Hueshi kuwaambia ukweli wageni.
Ila Msosi tayari,uje kula.
 
Ndo hapo ninapokupendea mpenzi wangu.
Hueshi kuwaambia ukweli wageni.
Ila Msosi tayari,uje kula.

Mwambie Mr. Mbona anawahi kujihami hata hajajua gendar ya mgeni ?
Au ndy abiria pwani ?
Nway mgeni karibu!
 
Mwambie Mr. Mbona anawahi kujihami hata hajajua gendar ya mgeni ?
Au ndy abiria pwani ?
Nway mgeni karibu!

Si unajua tena bado X zangu zinanifukuzia?
Afu akikumbuka gharama ya harusi na mahari aliyotoa,
lazima ajihami.
 
Karibu sana!
Ukiwa na tatizo lolote la kisheria utaniona!
Warning
usimguse mtu anayeitwa
* Madame B*

kwa utaratibu mwingine wa kukaguliwa kuna mzee anaitwa Aspirin atakuja kukunyia ukaguzi

Hebu tumia uzoefu wako unifahamishe jinsia yake tafazali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom