Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,836
watu wanadanganyika sana,mungu akasema,,,,,,watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,,,,mambo haya yanakuzwa na wajinga ndio waliwao,,,,,ooh freemason,wapo dar,,ar,mwz,,,oooh uliya ,,,amerika,,,,upuuzi mtupu,,,nenda huko kote hutawaona zaidi ya tetesi ,,,mtu akiwa na mafanikio ,,ataitwa freemason,,,,,fisadi nk,,,wivu wa masikini ni mbaya sana,,,,,,ni kukosa maarifa,,,yapo hata magazeti ya dini za kizuahili ni mashabiki wa upuuzi huu wa kuwalisha watu matango mwitu,,,,,,kaazi kwelikweli////////:yo: