Kelele zote za mkumbo zilikuwa zinamaanisha hatimae leo zimezaa matunda

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Sakata la Bandari kumbe KELELE zote za Mkumbo zilikuwa zinamaanisha hatimae leo zimezaa MATUNDA kawa Waziri wa UWEKEZAJI ngoja tusubiri na Wengine watapata nini.
20230706_122727.jpg
 
Kitila amesaliti Watanganyika! Si mara ya kwanza kufanya usaliti, alianza kwa kuisaliti CHADEMA na baadaye akaisaliti ACT Wazalendo na sasa kafikia kilele kwa kuwasaliti Watanganyika wote!

Kitila ni shetani!
 
Kama ni hivyo,serikali ni kubwa kuliko kutoka,mkataba kama haufai si serikali inavunja tu!!?

Hapo kitila ni kibaraka katumwa tu kwenda huko kama wewe ungetumwa ungekataa!!?
 
Hapo ndiyo mnayakoroga zadi zisikilizenui sauti za wananchi hata za wasiozungumza mnazijua
 
Wakati watanzania mna hangaika kutegua bomu lililotegwa 2020 na Mtakatifu Kitila Mkumbo wa II, kuna jingine linategwa na mwamba mwingine litaripuka 2025.

Ikifika 2025 mtasema, kumbe maandalizi yalianza 2023.
 
Sakata la Bandari kumbe KELELE zote za Mkumbo zilikuwa zinamaanisha hatimae leo zimezaa MATUNDA kawa Waziri wa UWEKEZAJI ngoja tusubiri na Wengine watapata nini.View attachment 2680058
Expo 2020 (Arabic: إكسبو 2020) was a World Expo hosted by Dubai, in the United Arab Emirates, from 1 October 2021 to 31 March 2022.
 
Kama ni hivyo,serikali ni kubwa kuliko kutoka,mkataba kama haufai si serikali inavunja tu!!?

Hapo kitila ni kibaraka katumwa tu kwenda huko kama wewe ungetumwa ungekataa!!?
Angeishauri serikali tofauti na inavyotaka kwa vyo vyote vile isingempa huo uwaziri lakini kwa kuwa alionjeshwa asali akafurahia na kuupongeza ndiyo sababu serikali inataka kuendelea kumtumia na hasa ukizingatia wanaopigiwa kelele ni Wazanzibari!
 
Back
Top Bottom