Kazi ya shanga kiunoni kwa wamama ni ipi?

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Habari wakuu, Kwa hapa terminator naona nimerterminatiwa, hizi shanga wanazovaa wadada viunoni kazi yake na matumizi yake hasa ni yapi?

Maana kila nikikutana na hizi mada majibu yake nakuta yamekaa kimafumbo mafumbo tu, "Ukipata anaejua matumizi yake...."

Na mafumbo kibao kiasi kwamba kuna watu wanajua matumizi ya hizi shanga tofauti na kuzichezea mkiwa mnachakatana au ndio kukalilishana mafumbo ambayo hata aliesema hajui majibu yake.

Hebu wakuu nipeni hapa matumizi ya hizi shanga ni yapi kwenye 6×6 Na wamama leteni maana ya rangi ya hizo shanga zinamaanisha nini.
 
Shanga kitaalamu

Kwa mtoto mdogo huwa anafungwa kamba kiunoni hiyo kamba inafungwa dawa au mkaa au kitu chochote cha baharini kwa ajili ya ulinzi

Kwa mwanamke shanga anakuwa amefunga madawa yake ili akukamate vizuri
Huwezi kuyaona kwa macho ya kawaida

Ila mwanamke anayevaa shanga kwenda kwa mganga ni kugusa

Wengine wanavaa wanaamini litachonga shepu zao waonekane wana viuno vya kunyanyua shanga

Lastly ni kuiga
 
Habari wakuu, Kwa hapa terminator naona nimerterminatiwa, hizi shanga wanazovaa wadada viunoni kazi yake na matumizi yake hasa ni yapi?

Maana kila nikikutana na hizi mada majibu yake nakuta yamekaa kimafumbo mafumbo tu,
"Ukipata anaejua matumizi yake...."
Na mafumbo kibao kiasi kwamba kuna watu wanajua matumizi ya hizi shanga tofauti na kuzichezea mkiwa mnachakatana au ndio kukalilishana mafumbo ambayo hata aliesema hajui majibu yake.

Hebu wakuu nipeni hapa matumizi ya hizi shanga ni yapi kwenye 6×6
Na wamama leteni maana ya rangi ya hizo shanga zinamaanisha nini.
Kazi yake ni
1. Kiashiria cha mapigano vitani.......Pull the trigger.
2. Idadi ya shanga ndio inatakiwa kuw aidadi ya magoli- nakuibia intelijensia hii.
3. Mapambo kiuno chenye shanga ninavutia sana kwenye mizagamuano kuliko Plain waist and plain skin.......jaribu kuwaza Mwanamke amevaa kitop akiinama mmoja amevaa shanga na mwingine hajavaa shanga......mwitikio wa vichocheo kwa mwanaume utakuwa tofauti.

4. Shanga huvaliwa na wanawake duniani kote hadi Wachina......majina ndio hutofautiana kulingana na mazingira
 
Back
Top Bottom