Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

MaCCM ni kama mafisi. Hayaaminiani hata kidogo. Walichomfanyia Magufuli, Mungu atawalipa hapa hapa duniani.

Sijawahi kuona majitu maroho na yasiyokuwa na utu kama maCCM. Haya ni majitu ya ovyo sana kuwahi kuwepo hapa ulimwenguni.
Kuna chama kinafikia CHADOMO kwa uroho? Mwangalie Makengeza anataka afie madarakani, Zitto wa juzi tu ameshaachia chama. Nyie nyumbu hata miaka 100 hamuwezi kuifikia CCM, sana sana hiyo SACCOSS yenu itakufa muda wowote
 
Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.

Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.

Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.

Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
hilo kundi la magufuli mbona ni dogo sana na halina nguvu wala ushawishi ndani ya ccm, ccm ni ni kubwa katika ukubwa wake hakuna kundi wala mitandao ya wafuasi wake wanaoweza kukiyumbisha chama hicho kikongwe barani afrika
 
upotoshaji wa kishindo.....

ulikuta wap mtu anapendwa au kukubalika na watu wote....

hakuna mapigano wala dalili za mashambulizi kwa yeyote ndani ya ccm, ispokua kwa wenye fikra mgando...

ccm ina utamaduni, mila na desturi zake ambazo ndio msingi wa uimara, umakuni na umadhubuti wake katika kutawala na katika siasa za kitaifa na kimataifa, haitayumba na haiwezi yumbishwa na yeyote kutoka nje au ndani ya ccm yenyewe...
 
Kuna chama kinafikia CHADOMO kwa uroho? Mwangalie Makengeza anataka afie madarakani, Zitto wa juzi tu ameshaachia chama. Nyie nyumbu hata miaka 100 hamuwezi kuifikia CCM, sana sana hiyo SACCOSS yenu itakufa muda wowote
Changia hoja wewe mbweha. CHADEMA inaingiaje kwenye hoja hii? Mijitu kama wewe ni bora tu ungezaliwa mbwa kuliko kuzaliwa binadamu. Huna faida yoyote ya kuwa binadamu. Unaudhalilisha ubinadamu.
 
Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.

Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.

Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.

Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
Msubirini atakuja nyumbani 2025
 
1. Kwani Magu alikuwa chama Gani na sa100 ni chama Gani?

2. Kukumbukwa Kwa Magu tarehe alipofariki, Kuna mahusiano Gani na unakodai ni kukataliwa Kwa sa100 CCM?

3. Wewe kama mpinzani, unaumizwa vp na migogoro unayodai ipo ndani ya CCM?

4. Magufuli hayupo, kwanini utishwe na kivulichake?

5. Tulishakubaliana, Magu hagombei 2025, unaogopa nini?

6. Magufuli alikuwa Rais wa Watanzania wote, iweje wanaokumbuka mazuri yake watoke ndani ya CCM pekee na sio nje ya CCM?

HOJA Yako Haina mizania/balance.
 
2025 tumsaidie awe "eya hastesi" kazi aliyoitamani.
Head of a state awe mwanaume maana hata head of our families huwa ni mwanaume...
 
Nini wasiwasi,

Kukumbukwa Kwa mazuri na Uzalendo wa Magu, kunatishia kupungua Kwa kura za mgombea wa upinzani wa chama chako 2025?
 
Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.

Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.

Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.

Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
Hii kundi lisilojiweka wazi ambalo linaandaaga kimyakimya kumbukizi ya Magufuli kila mwaka hadi kuratibu Misa takatifu ni ushahidi tosha kuwa kuna kundi linam-outsmart SSH by far huku likisubiri muda wao ufike.
Alifariki Mkapa lakini hata siku moja hatujawahi kusikia kumbukizi ya kifo chake. Hiki kifo cha Magufuli kina uspecial gani hadi kilamishiwe kumbukizi kiasi hiki?! Kuna jambo nyuma yake. Sukuma gang is real.
Rai's Samia kama mmeamua kuwe na kumbukizi ya siku za vifo kwa viongozi wa kitaifa basi siku alipotutoka duniani Rais mtaaafu Mkapa msichukulie poa wakati vifo vingine mkifanyia promotion hadi kutumia maparoko😡😡😡
 
Kumkumbuka Rais aliyefia madarakani Kuna tatizo gani?

Hamtaki JPM akumbukwe?
 
hilo kundi la magufuli mbona ni dogo sana na halina nguvu wala ushawishi ndani ya ccm, ccm ni ni kubwa katika ukubwa wake hakuna kundi wala mitandao ya wafuasi wake wanaoweza kukiyumbisha chama hicho kikongwe barani afrika
Kumbe ndiyo maana Maza kahamisha Ikulu kurudi Magogoni
Maana zaidi ya mwezi hajakanyaga Chamwino
 
Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.

Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima yake toka kwa watu kama kina Makonda.

Mashambulizi dhidi yake ndani ya CCM yamekuwa makubwa Sana na dalili mojawapo ni jinsi wale wanaojiita waumini wa Magufuli ndani ya CCM wanavyoanza kumshambulia hadharani.

Kwa Sasa kama asingekuwa na cheo cha Urais nadhani wababe ndani ya CCM wangeshamfukuza chamani waweke mtu wao.
ndani ya ccm wanasubiri akamilishe ungwe lake,makucha halisi atayaona januari mwakani
 
Back
Top Bottom