Nicorandil
Senior Member
- Aug 9, 2022
- 125
- 447
Mkuu kwani watumishi wa hizo taasisi wanaishi wapi? Kwa sababu pamoja na hio mishahara minono maisha ni ya kama ya wasio kwenye hizo taasisi. Acha hype.Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA