Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Mkuu kwani watumishi wa hizo taasisi wanaishi wapi? Kwa sababu pamoja na hio mishahara minono maisha ni ya kama ya wasio kwenye hizo taasisi. Acha hype.
 
Sasa rejea tena comment yako ya mwanzo nanukuu, "sijawahi kuona mfanyakazi wa CRDB anaendesha Discovery", sasa hao walioko kwenye Managerial Positions siyo wafanyakazi au wao ni shareholders
hahaha kuna tatizo mahali hapo
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Hii list ipo on point sana, hakuna lofa hapo, ukiambiwa ni watumishi wa umma huwezi amini. Ongeza TISS, OSHA.
 
TISS labda wazee wa Eagle, VIP Protection, PSU, GSU, RSOs, DSOs ndio wako vizuri, ila hawa wengine wanaosambazwa maofisini na mitaani (ambao ndio wengi) eti kuchunguza sijui wanaopinga Serikali hamna kitu, na ndio hawa wanaojigamba na kudanganya watu kwamba wana hela
Hujui bado. Hakuna watu wanakula kwa raha kama hao. Kazi kidogo pesa mingi.
 
TISS labda wazee wa Eagle, VIP Protection, PSU, GSU, RSOs, DSOs ndio wako vizuri, ila hawa wengine wanaosambazwa maofisini na mitaani (ambao ndio wengi) eti kuchunguza sijui wanaopinga Serikali hamna kitu, na ndio hawa wanaojigamba na kudanganya watu kwamba wana hela
TISS sasa hivi wanafanya kufuru.
Tangu utawala wa kiimla uasisiwe na Jiwe jamaa wana maisha kinoma.
Jirani yangu anabadili magari tu.
Ila ni kweli wale wa chini njaa tupu
 
Screenshot_20230727_231020_Drive.jpg

TUfanye. Hivi..hii ni kwa university employee aliyepanda daraja moja..ICT 1 PGSS8
 
I wish mgejua kuwa Hela imelala kwa biashara ,Nina mkaka nliimpa line mwaka uliopita alikuwa anaslave kwa halmashauri na vichenchi visivyo na maana Leo hii ana range 2022 edition
Kuna mdada pia najuana naye ,siyo mwajiriwa Ila ukitaka services zozote serikalini atakufanyia mind you hajasoma chuo kikuu ,mwana biashara tu .
Hela wanazokunja hawa sio mchezo .
Nipee na mimi please
 
Aahh kumbe michongo nikajua mshahara, kijana inaonekana unaiabudu sana TRA tangu mwaka juzi comments zako nyingi huwa naona unasifia huko tu, unahisi kila Mtu humu hapajui huko

Kuna watu wako kwenye Taasisi za serikali na huko TRA wanaona hakuna kitu, tena wengine wanaenda huko hawamalizi hata miaka miwili, wanarudi walikotoka au wanahamia kwingine

Huko kwenye sekta binafsi kama NGOs na Migodini ndio usiseme, watu wanalipwa mishahara na posho kufuru hakuna cha michongo wala nini, tafufa connection ujue taasisi zenye pesa ilionyooka ili uache kupasujudu huko na kupaona ndio kila kitu
Anaabudu tra😇 Tra graduate anaeanza gross haizidi mil 3

Private sector chache na baadhi NGO zinalipa mara 2 hadi 3 ya hapo kwa anaeanza
 
Back
Top Bottom