MEGATRONE
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 1,001
- 1,849
Hata mimi nimeshangaa aisee? Kama ni kweli basi ndo maana kila mtu anataka kufanya kazi huko!Acha kutukana mzee milioni tatu wazijua wewe? Ni TRA ipi hiyo ni ya hapa hapa bongo?😅
Hata mimi nimeshangaa aisee? Kama ni kweli basi ndo maana kila mtu anataka kufanya kazi huko!Acha kutukana mzee milioni tatu wazijua wewe? Ni TRA ipi hiyo ni ya hapa hapa bongo?😅
Karibu 3m ni gross ,ni nyingi au ndogo?Acha kutukana mzee milioni tatu wazijua wewe? Ni TRA ipi hiyo ni ya hapa hapa bongo?😅
Watu wa ardhi piaWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Madaktari sio taasisi.Mbona sioni madaktari au kada za afya hawali cake ya taifa
Mamlaka zote za udhibiti mishahara yao minono,na hapo umeisahau LATRA na PURAWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Wanaambiwaga nyie kazi yenu ni wito 🤣😂 Yani kiufupi kuteseka ni wajibu wao. Kwa tafsiri ya siasa ya Tanzania. Ila kwa wenzetu it's a job like any na wanapesa yani.Mbona sioni madaktari au kada za afya hawali cake ya taifa
TRA wanafika tena na zaidi. Na bado kuna marupurupu mengi sana, training, workshops, safari, exemption, rushwa, yani acha kabisa.Acha kutukana mzee milioni tatu wazijua wewe? Ni TRA ipi hiyo ni ya hapa hapa bongo?😅
Watu hawajui TRA wanavuta mpunga mrefuTRA wanafika tena na zaidi. Na bado kuna marupurupu mengi sana, training, workshops, safari, exemption, rushwa, yani acha kabisa.
Wanajifariji. Wenzao nguvu kidogo pesa mingi.Watu hawajui TRA wanavuta mpunga mrefu
maana mara ya mwisho nov 2023 salary yao niliona ilikuwa 3.1M kwa anaeanza kazi
Watu hawajui TRA wanavuta mpunga mrefu
maana mara ya mwisho nov 2023 salary yao niliona ilikuwa 3.1M kwa anaeanza kazi
Ni 2.34mWatu hawajui TRA wanavuta mpunga mrefu
maana mara ya mwisho nov 2023 salary yao niliona ilikuwa 3.1M kwa anaeanza kazi
Watu hawajui uhalisia ndo tatizoWanajifariji. Wenzao nguvu kidogo pesa mingi.
Wanakula sanaDah dadeki watu wanakula maisha.
Hiyo labda ya zamani as of now 2024 ni 3.1MNi 2.34m
Huo mshahara haupo, mshahara wa mwisho kuuona ilikuwa ni 2017 na ilikuwa ni 2.34mHiyo labda ya zamani as of now 2024 ni 3.1M
Training sio Kila siku utachaguliwa ww ndio uende Hali kadhalika safari na workshopTRA wanafika tena na zaidi. Na bado kuna marupurupu mengi sana, training, workshops, safari, exemption, rushwa, yani acha kabisa.