Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
698
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
 
Binafsi nimesoma nikaishia tu kushangaa
Nadhani kuna namna tunaishi kwa kukaririshwa sana.
Mleta mada hajajua kuna taasisi zinalipa vizuri hizo alizozitaja hapo zinasubiri..
Mfano mdogo ni CMSA..
Kwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! kasoro ngorongoro ndo anajilipa mshahara

Ss ww unaandika unono, unono upi unaongelea ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara wenyewe shilling ngapi? Mbona wengi wa hoa tunakaa nao mitaani full kukopa! Maisha ya kawaida saana isipokuwa TRA na BoT

Wafanyakazi wa umma labda watambiane wizi na deals na si mishahara, mishahara ni vichekesho isipokuwa kwa nafasi chache sana kwenye hizo mamlaka, taasisi na mashirika ya umma.

Huwa nikiona salary scales za serikali ndipo huwa nakumbuka ni kwa kiasi gani nchi yetu ni masikini bado.
 
Wewe utakuwa mtafuta kazi sio bure na sisi tulikuwa na fikira kama zako hapo kabla. By the way,nadhani SSRA umisha futwa pia scale za mishahara ya binge in sasa na za Wizara na Halmashauri.

Ndungu, mshahata hata ulipwe million 100 kwa mwezi ni sawa na bure.
 
Wafanyakazi wa umma labda watambiane wizi na deals na si mishahara, mishahara ni vichekesho isipokuwa kwa nafasi chache sana kwenye hizo mamlaka, taasisi na mashirika ya umma.

Huwa nikiona salary scales za serikali ndipo huwa nakumbuka ni kwa kiasi gani nchi yetu ni masikini bado.
Acha kujipa moyo binti kiziwi, ujue kuna taasisi zinazalisha pesa tena bila kutumia mtaji mfano kama TPA, EWURA, TBS n.k kwanini zisiwamwagie mishahara minono watu wake.
 
Mkuu
Wewe utakuwa mtafuta kazi sio bure na sisi tulikuwa na fikira kama zako hapo kabla.
By the way,nadhani SSRA umisha futwa pia scale za mishahara ya binge in sasa na za Wizara na Halmashauri.
Ndungu,mshahata hata ulipwe million 100 kwa mwezi ni sawa na bure.
Mkuu mimi Niko sensitive sana na mshahara, kazi yangu ya kwanza nilikua nalipwa laki nane na nusu take home, huku nimepewa nyumba, gharama za umeme plus maji lakini nilifanya kazi mwaka mmoja tu nikaandika barua ya kuacha kazi nikaomba kazi mahali pengine
 
Back
Top Bottom