Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,141
NJIA 7 ZA KULINDA AFYA YAKO.png

HIZI NDIZO NJIA SALAMA ZA KUILINDA AFYA YAKO

Mazozi ni jambo muhimu sana ili kuulinda mwili kutokana na magonjwa. Mtu mwenye kuthamini mwili afya yake hawezi kupuuza kufanya mazoezi kwa sababu zifuatazo;

1) Mazoezi hupunguza kiwango cha sumu mwilini (2) Mazoezi huzibua mishipa ya damu na kupunguza kiwango cha mafuta mwilini (3) Mazoezi hurekebisha mzunguko wa damu na kusawazisha mapigo ya moyo n.k.


2)CHAKULA
Chakula pia ni sehemu muhimu ya kuulinda mwili. Watu wengi hatujali kile tunachokila ilimradi tunafurahia ladha basi hatujali kuhusu afya ya mwili. Yapo mambo ya kuzingatia katika chakula chako;
Ubora wa chakula chenyewe. Chakula halisi ni bora kuliko kile cha kusindikwa viwandani. (2) Ni muhimu kuzingatia kiwango cha mafuta na sukari katika chakula chako kwa sababu mafuta mengi ma sukari ni tatazo kwa afya ya mwili.

3)ULEVI NA UVUTAJI WA SIGARA
Epuka matumizi vya kilevi cha aina yoyote ile, vilevi vina athari za moja kwa moja kwa afya ya mwili na huathiri (1) Maini (2) Mapafu (3) Moyo (4) Ubongo n.k. Na usivute sigara sio nzuri kiafya.
 
Usiteseke sana Mkuu.

Biblia inasema sharti Huu WA kuharibika uvae kutokuharibika.

TAFUTA SANA UFALME WA MBINGUNI.

UFANYE MWILI WAKO KUWA HEKALU LA ROHO MTAKATIFU.
1. kula Neno la Mungu.
2. Kula vyakula vya kwenye bible , imetoka Miongozo yote.
3. Zingatia sana maji na mazoezi


MWISHO
MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI NDIVYO MEMA YATAKAVYOKUPATA.
Ayubu22:21.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom