Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,329
- 33,138
Chipsi ni moja kati ya chakula kinanchopendwa zaidi duniani
KIUKWELI katika vyakula vitamu duniani na vinavyopendwa haswaa na watu duniani usiposema chipsi utakuwa mtu waajabu sana. Chipsi haziliki bongo tu ata ughaibuni chips zinalika sana na zinapendwa haswaa, chipsi zinaenda na vitu vingi kama chipsi yai, chipsi kuku na kadharika.
Hizi ndio athari za ulaji wa chipsi.
- Husababisha magonjwa ya moyo
Ulaji wa chipsi husababisha magonjwa ya moyo
- Hupunguza kinga ya mwili
- Huongeza uzito wa mwili
Chipsi huongeza uzito wa mwili. chanzo GBP