Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual slaves..
Kuna Intervieww aliwahi kuifanya msanii wa Tanzania (Diamond) Akisema walikwenda Kwa...
Hakuna Nusu ya Mwezi kwenye kucha inamaanisha tezi dhaifu Ambayo inaweza kusababisha mabadiliko ya hali ya unyogovu kupata uzito na kukonda kwa nywele.
Kucha kukatika kama nyufa kama kwenye misumari inaweza kuonyesha Dalili ya ugonjwa wa ngozi
Kucha kuwa na rangi nyeupe huonyesha matatizo...
Ikilinganishwa na pilipili zingine, pilipili za kengele hujulikana kwa kiwango cha juu cha spiciness(viungo).Pilipili za kengele nyekundu huwa ni tamu, kama aina nyingine za manjano na rangi ya machungwa.
Kiwango cha joto cha pilipili kengele (pilipili hoho) kinapimwa katika vitengo vya joto...
Faida za kushangaza ambazo pengine hukuzijua za kutumia papai
Papai ni tunda la kushangaza na lenye afya. Ina 'antioxidants' ambayo hupunguza kuvimba na kupambana na magonjwa na kusaidia mtu kuonekana na umri mdogo.
Virutubisho katika papai
Kalori, Wanga, Nyuzinyuzi, Protini, Vitamini C...
Ugonjwa wa kudhoofu kwa mifupa (Osteoporosis).
-Ugonjwa huu hufanya mifupa iwe dhaifu, ipungue ujazo wake na iwe kwenye hatari kubwa ya kuvunjika kirahisi pasipo kuhitaji mgandamizo mkubwa.
Dalili muhimu za ugonjwa huu
-ni kupatwa na maumivu ya mara kwa mara ya mifupa, hasa sehemu ya mgongo...
MATATIZO YA AFYA YA AKILI.
-Shirika la Afya Duniani (WHO) linataja kuwa kabla ya janga la COVID19, takriban mtu 1 Kati ya 8 Duniani kote walikumbwa na matatizo ya kiakili, hata hivyo Msaada sahihi wa miundombinu na kiuchumi kwa ajili yao, ulikosekana
-Matatizo ya afya ya akili yapo katika...
Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora.
Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia faida za lishe bora na kiwango cha chakula ambacho mtu anapaswa kula kwa ajili ya afya yake.
Wataalamu...
HIZI NDIZO NJIA SALAMA ZA KUILINDA AFYA YAKO
Mazozi ni jambo muhimu sana ili kuulinda mwili kutokana na magonjwa. Mtu mwenye kuthamini mwili afya yake hawezi kupuuza kufanya mazoezi kwa sababu zifuatazo;
1) Mazoezi hupunguza kiwango cha sumu mwilini (2) Mazoezi huzibua mishipa ya damu na...
Wakati homa ya mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga ikiendelea kupanda huku zikiwa zimebaki saa chache, Mashabiki na Wachezaji wa timu hizo wameendelea kutambiana kuibuka na ushindi
Simba ambayo itakuwa mwenyeji, itaikaribisha Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.