Milioni tatu na laki nane=3,800,00/=:bange::bange::bange::bange::bange::A S 114::A S 114::A S 114:
Nimelitafuta hili neno "cheki" kwenye kamusi yetu halimo. Ni tofauti kidogo na huo mfano wako. Tusonge mbele na mada yetu. Kosa kama lile sio Salma wala JK peke yao wanaweza wasiligundue. Vifijo, nderemo na shamrashamra zinazokuwa pale hazimpi nafasi mgeni rasmi kuliona hilo. Na wala halina madhara pande zote.
This cheque will definetly be reffered to drawer! (kichekesho)!
Hii 'Salma Kikwete Saccos' ni tofauti na WAMA?
Mlipaji: Salma R Kikwete (WAMA) - Mlipwaji: Salma Kiwete SACCOS!
Originally Posted by Arafat
Swali la kizushi samahani sana wakuu!
Salma R. Kikwete; R stands for what?
Hiyo R inasimama km jina la BABA yake mzee Rashid wa Mkuranga
Ipo na ile nyingine ya mumewe kila nkiiangalia nacheka hadi haiwezekani. tatizo ni umakini wa wanaotoa na wanaopokea!
Wengi wetu humu ni hadi pale unapompopoa JK na familia yake, uikandie CCM na viongozi wake ndipo unaonekana uko huru, haujipendekezi sio puppet na sifa nyingine nzito kama hizo. Binafsi nitaitii dhamira yangu, nitausimamia ukweli hata kwa kupewa jina na sifa gani humu.Kujipendekeza na kuwa puppet kuna viwango vyake, ila wewe mwenzetu umevuka viwango, nashindwa kuelewa unachokitetea wewe ni kitu gani! nenda kwenye website ya ccm ndio ya viwango vya mawazo yako.
Wengi wetu humu ni hadi pale unapompopoa JK na familia yake, uikandie CCM na viongozi wake ndipo unaonekana uko huru, haujipendekezi sio puppet na sifa nyingine nzito kama hizo. Binafsi nitaitii dhamira yangu, nitausimamia ukweli hata kwa kupewa jina na sifa gani humu.
thioni kitu mie..!