Hizi Cheki hizi zina matatizo gani.. miye sitaki..

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,461
39,928
salma-naye.jpg


Hizi cheki zina matatizo yake.. Toka kwa Mjengwa Blog
 

Attachments

  • MK%2Bwa%2BWAMA%2Bakikabidhi%2Bhundi%2Bkwa%2BMK%2Bwa%2BSama%2BKikwete%2BSACCOS%2BLTD%2BKwa%2BMK%2.JPG
    MK%2Bwa%2BWAMA%2Bakikabidhi%2Bhundi%2Bkwa%2BMK%2Bwa%2BSama%2BKikwete%2BSACCOS%2BLTD%2BKwa%2BMK%2.JPG
    192.7 KB · Views: 820
Siyo bure iko namna, si mara ya kwanza kujitokeza tatizo kama ili... hawajifunzi kupia makosa yaliyopita? Umakini unakosekana na kinachotokea na vituko na mara kwa mara inawakuta viongozi wa juu kabisa wa nchi
 
Kwa hiyo ikienda "Bank" watalipa kwa kuangalia tarakimu au maneno? Hamkumbuki mumewe naye alipokea mfano wa check ya utata. Ina maana mwandishi ajui kuandika maneno kwa tarakimu 3,800,000/= <-> 3,800,00/=??????????????
 
Issuer wa cheki ni WAMA, while Payee ni Salma Kikwete Saccos!....Cheki inatoka mfuko wa kulia inaingia mfuko wa kushoto!
Comedy hii, na ni nzuri kutazama kabla ya kuanza kazi asubuhi ili kurelax mwili!
 
mumewe alipewa ya namna hii sasa wakaamua kumpima mkewe waone kama hana uvivu wa kusoma


may be alisoma akashindwa kutambua unajua tuna uelewa tofauti sasa wa mpokea check upo chini
 
Huu ni ugonjwa wa kitaifa. Hakuna anayetaka kusoma. Chochote kilichoandikwa hata kama ni tusi tunalipokea kwa furaha na tabasamu.
 
Viongozi wetu wanapenda kujionyesha na sifa zaidi kuliko uhalisia! Matatizo mengi sana MKJJ ukiachia mbali utata wa tarakim na maneno yaliyo katika hiyo cheki kuna mambo makuu najiuliza hapa-

Hivi kama ikiwa Mke wa Rais na wasaidiza wake wote wanaweza kuwa hawana umakini kiasi hicho je umakini upo wapi katika nchni yetu? lakini kingine ambacho kinanisumbua sana juu ya haya mambo pale ambapo fedha za serikali zinatumika bila tija, hakika nakwambia unaweza kukuta serikali imegharimia hiyo safari ya huyo mama kwa zaidi ya millioni tano jumla yote mpaka posho za mashushu kwa ajili ya kufanya huo upupu! hapa tija ipo wapi? Kwani kama angechagia hiyo fedha 380,000 au 380,000,000 bila kufanyika maandalizi makubwa yenye gharama zaidi ya huo mchango kuna ubaya gani na hapa ndipo kwenye tatizo katika bongo za viongozi wetu na wake zao.

Hakuna anaye fanya analysis ya faida ya haya mambo, lakini naamini hata ziara nyingi za viongozi wetu nje ya Ikulu kwenda mikoni na nje ya nchni ni mzigo wa ajabu pengine gharama za safari ni mara mbili ya kinachokwenda kufanywa. Kingine hii inaonyesha hana cha kufanya sijui kwani hasirudi kufundisha? labda ingemjengea heshima mara dufu! Inawezeka bado anakula msharaha wa uwalimu ingawa aingii darasa si ajabu kwa Tanzania.

 
Siyo bure iko namna, si mara ya kwanza kujitokeza tatizo kama ili... hawajifunzi kupia makosa yaliyopita? Umakini unakosekana na kinachotokea na vituko na mara kwa mara inawakuta viongozi wa juu kabisa wa nchi
Kama unakosekana umakini swala la uandikaji wa cheki hiyo je itakuaje katika matumizi ya pesa hizo?
 
hahaha.........like husband like wife..........yaani full kichekesho......... kama biblia takatifu inavyosema.....usipokuwa mwaminifu kwa machache hata makubwa huwezi aminika....likini pia usipokuwa makini kwa vitu vidogo kama hivi vi cheki hata mambo makubwa huwezi.....
 
Aggh hivi familia ina genge la watu wa aina gani??? maneno tofauti na namba!!dah kweli ikulu imeingiliwa na maghabachori...wezzi wakubwa!!3,800,00/=???hii ndo milioni 3 na laki 8???shame..shame...shame!!!
 
This cheque will definetly be reffered to drawer! (kichekesho)!
Hii 'Salma Kikwete Saccos' ni tofauti na WAMA?
 
Ipo na ile nyingine ya mumewe kila nkiiangalia nacheka hadi haiwezekani. tatizo ni umakini wa wanaotoa na wanaopokea!
 
Ingekuwa Ki-english nisingemlaumu maana najua English course kajifunzia Ikulu ila hili la Kiswahili....?
 
Penye saini hamna saini ni jina au ndio saini ya WAMA ?
 
hahaha.........like husband like wife..........yaani full kichekesho......... kama biblia takatifu inavyosema.....usipokuwa mwaminifu kwa machache hata makubwa huwezi aminika....likini pia usipokuwa makini kwa vitu vidogo kama hivi vi cheki hata mambo makubwa huwezi.....
JK v/s MAMA KIKWETE NGOMA DRAW:bange::bange::bange::bange:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom