BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,032
- 3,944
Mkuu hiyo ni typo error, after all hiyo ni replica. Corrections zitafanywa kwenye original check itakayokuwa issued. Not a big deal, but it's embarassing.
Wote mnaokazania kuwa 'it is not a big deal!' mnachekesha! Until they do what, it will be a big Deal?? Mpaka siku Raisi Wenu amkabidhi Rais Kibaki zawadi ya kinachodhaniwa kuwa ni picha yake yeye Kibaki na imeandikwa hivyo...kumbe taswira iliyochorwa ni ya Rais mstaafu Joji Kichaka??? hapo ndipo mtakapokubali kuwa raisi wenu na wasaidizi wake kuna tatizo?????
Kwenye nchi zinazoendeshwa na utawala wa sheria kikweli kweli na sio kwa domo kaya, 'kumuumbulisha' hivi raisi wa nchi hadharani MARA TATU some stupid heads should have been rolling by now! Not in our Bongoland. Poor we.