Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Kama unakosekana umakini swala la uandikaji wa cheki hiyo je itakuaje katika matumizi ya pesa hizo?Siyo bure iko namna, si mara ya kwanza kujitokeza tatizo kama ili... hawajifunzi kupia makosa yaliyopita? Umakini unakosekana na kinachotokea na vituko na mara kwa mara inawakuta viongozi wa juu kabisa wa nchi
JK v/s MAMA KIKWETE NGOMA DRAW:bange::bange::bange::bange:hahaha.........like husband like wife..........yaani full kichekesho......... kama biblia takatifu inavyosema.....usipokuwa mwaminifu kwa machache hata makubwa huwezi aminika....likini pia usipokuwa makini kwa vitu vidogo kama hivi vi cheki hata mambo makubwa huwezi.....