Hivi wanaoshabikia CCM ni watanzania?

mpumbavu wa fikra, masikini wa kuelewa na mjinga kwa matendo yako, wewe kadogoo!

umeshamaliza matusi yote au bado unataka kuendelea kutukana!!! Huyu mtoto wa nani jamani yaani anatukana huyu!!! Sijui haya matusi alifundishwa na nani!!!! Wee mtoto mbona huna adabu? Hujafunzwa na wazazi wako siyo? Basi ngoja ulimwengu ukufundishe!!! Kama utaacha matusi na kushika adabu basi ntakusamehe lakini ukiendelea kutukana basi utakutana na ulimwingu!! Umesikia wee mtoto?
 
Yes ni watanzania wenye akili timamu na wanaojua kuwa bora zimwi likujualo kuliko zimwi linalolea ukabila na linalo jiongoza kwa ukabila......

kama una reliable researched data source kuhusu hilo la ukabila wengine :director: tutautafakari mtizamo wako.la sivyo tunahesabia kuwa ni majungu tuu.
 
Ukiona mtu anashabikia CCM basi ujue yupo kwenye kundi mojawapo kati ya haya:
  1. Ni fisadi wa kutupwa; asiye na hata chembe ya huruma kwa watanzania masikini wanaoteseka na kufa usiku na mchana kwa kukosa huduma mhimu kama binadamu. Mwogopeni sana huyu mtu, na anapaswa kuchukiwa mno kwa kuwa hawa ndio chanzo cha umasikini mkubwa unaoikabili nchi.
  2. Ni zezeta, ama taahira au mjinga ambaye hakuwahi kuona mlango wa darasa au ni masikini wa kutupwa, limbukeni au mganga njaa na msaliti mkubwa wa jamii yake; huyu muoneeni huruma na msaidieni kwa kumuelimisha kwamba umasikini wake, njaa yake na ujinga wake unaweza kuondoka kwa kufanya mabadiliko katika serikali
Kwa hiyo kama ukiona yeyote anashabikia CCM, basi muweke tu kwenye makundi hayo mawili. Bahati mbaya ilioje, hawa watu ni wengi kweli hasa kwenye kundi namba mbili. Yupo tayari kupoteza uhai wa mwenzie ili yeye apate makombo ya kile wanachodondosha mafisadi.
Ilikuwa ni heri watu hawa wasingelizaliwa kabisa!
 
Nawashangaa sana watu kama wewe ambaye umesoma kwa kodi za watanzania halafu leo anawasaliti watanzania kwa maslahi ya mafisadi? Wewe yafaa jiwe la kusagia lifungwe shingoni ukatupwe baharini.
 
1. Lukolo;
Leta hoja: hoja inajibiwa kwa hoja na si kwa matusi. Tena wewe unaonekana ni mganga njaa tu. Huna hata aibu, msomi mzima!! Muone kwanza!!
Nawashangaa sana watu kama wewe ambaye umesoma kwa kodi za watanzania halafu leo anawasaliti watanzania kwa maslahi ya mafisadi? Wewe yafaa jiwe la kusagia lifungwe shingoni ukatupwe baharini"

2. "Ni zezeta, ama taahira au mjinga ambaye hakuwahi kuona mlango wa darasa au ni masikini wa kutupwa, limbukeni au mganga njaa na msaliti mkubwa wa jamii yake; huyu muoneeni huruma na msaidieni kwa kumuelimisha kwamba umasikini wake, njaa yake na ujinga wake unaweza kuondoka kwa kufanya mabadiliko katika serikali

3.Pumba!!!!!!!!!!!

Nani ni mtusi hapa?

Ukiona mtu anashabikia CCM basi ujue yupo kwenye kundi mojawapo kati ya haya:
  1. Ni fisadi wa kutupwa; asiye na hata chembe ya huruma kwa watanzania masikini wanaoteseka na kufa usiku na mchana kwa kukosa huduma mhimu kama binadamu. Mwogopeni sana huyu mtu, na anapaswa kuchukiwa mno kwa kuwa hawa ndio chanzo cha umasikini mkubwa unaoikabili nchi.
  2. Ni zezeta, ama taahira au mjinga ambaye hakuwahi kuona mlango wa darasa au ni masikini wa kutupwa, limbukeni au mganga njaa na msaliti mkubwa wa jamii yake; huyu muoneeni huruma na msaidieni kwa kumuelimisha kwamba umasikini wake, njaa yake na ujinga wake unaweza kuondoka kwa kufanya mabadiliko katika serikali
Kwa hiyo kama ukiona yeyote anashabikia CCM, basi muweke tu kwenye makundi hayo mawili. Bahati mbaya ilioje, hawa watu ni wengi kweli hasa kwenye kundi namba mbili. Yupo tayari kupoteza uhai wa mwenzie ili yeye apate makombo ya kile wanachodondosha mafisadi.
Ilikuwa ni heri watu hawa wasingelizaliwa kabisa!

Cha ajabu humu JF wapo wale tunaowafahamu siku zote kama mashabiki wa CUF lakini sasa nao ni CCM.
 
:A S angry: Wote wanatoa matusi.

Mwaga ugali na mimi namwaga mboga ya kisanvunajua kipo kingi kule singida.
 
ukiona mtu anashabikia ccm basi ujue yupo kwenye kundi mojawapo kati ya haya:

  1. ni fisadi wa kutupwa; asiye na hata chembe ya huruma kwa watanzania masikini wanaoteseka na kufa usiku na mchana kwa kukosa huduma mhimu kama binadamu. Mwogopeni sana huyu mtu, na anapaswa kuchukiwa mno kwa kuwa hawa ndio chanzo cha umasikini mkubwa unaoikabili nchi.
  2. ni zezeta, ama taahira au mjinga ambaye hakuwahi kuona mlango wa darasa au ni masikini wa kutupwa, limbukeni au mganga njaa na msaliti mkubwa wa jamii yake; huyu muoneeni huruma na msaidieni kwa kumuelimisha kwamba umasikini wake, njaa yake na ujinga wake unaweza kuondoka kwa kufanya mabadiliko katika serikali

kwa hiyo kama ukiona yeyote anashabikia ccm, basi muweke tu kwenye makundi hayo mawili. Bahati mbaya ilioje, hawa watu ni wengi kweli hasa kwenye kundi namba mbili. Yupo tayari kupoteza uhai wa mwenzie ili yeye apate makombo ya kile wanachodondosha mafisadi.
Ilikuwa ni heri watu hawa wasingelizaliwa kabisa!
hilo ndo kubwa mkuu!
 
1. Lukolo;
Leta hoja: hoja inajibiwa kwa hoja na si kwa matusi. Tena wewe unaonekana ni mganga njaa tu. Huna hata aibu, msomi mzima!! Muone kwanza!!
Nawashangaa sana watu kama wewe ambaye umesoma kwa kodi za watanzania halafu leo anawasaliti watanzania kwa maslahi ya mafisadi? Wewe yafaa jiwe la kusagia lifungwe shingoni ukatupwe baharini"

2. "Ni zezeta, ama taahira au mjinga ambaye hakuwahi kuona mlango wa darasa au ni masikini wa kutupwa, limbukeni au mganga njaa na msaliti mkubwa wa jamii yake; huyu muoneeni huruma na msaidieni kwa kumuelimisha kwamba umasikini wake, njaa yake na ujinga wake unaweza kuondoka kwa kufanya mabadiliko katika serikali

3.Pumba!!!!!!!!!!!

Nani ni mtusi hapa?

Zilizotangulia ni tuhuma. Ni juu ya mjibuji kujitetea kwamba hizo tuhuma hazimhusu na si kuziita ni pumba.
 
Lukolo lugha uliyotumia ni kali sana. Hata mimi nahitaji mabadiliko saana lakini si kwa hoja kama zako. Wewe nikujuze tu, si wote wanaoshabikia CCM wana element ulizozitaja hapo juu kabisa. Naomba uelewe tunahitaji saana mabadiliko kwa sababu kuu zifuatazo:-

  1. Kuchoshwa na ahadi hewa kila mwaka.
  2. Usimamizi hafifu wa rasilimali za taifa.
  3. Serikali inayokosa mamuzi katika mambo mazito ya kitaifa na mengine mengi tu
Hivyo basi punguza jazba kidogo, njia bora ya kumkataa kiongozi au kumrudisha kiongozi madarakani ni KURA pekee na si vinginevyo. Tuombe Mungu kila mtu apige kura kwa muono wake. Usije ukasema nami fisadi, mimi nataka kunyoosha tu baba
 
Hivi hata kama wewe una uwezo wa kujitosheleza mahitaji yako yote,lakini ndugu zako,jamaa,watoto wao na jirani zako wanakufa kwa kukosa huduma bora za afya, watoto wao wanakalia matofali shuleni,shemeji/wifi zako wanajifungulia njiani wakienda zahanati iliyo kilometa 20 kwa baiskeli au wakilala sakafuni pale mwananyamala na hata wakilima mazao yao wanakatazwa kuuza nje na hali serikali inawakopa,na mengine mengi ya aina hiyo, kisha wewe unakwenda kuipa kura serikali ileile ili iendelee kuongoza(kutawala) wewe utawekwa kundi gani kama sio MWEHU ?
 
Ukiona mtu anashabikia CCM basi ujue yupo kwenye kundi mojawapo kati ya haya:

  1. Ni fisadi wa kutupwa; asiye na hata chembe ya huruma kwa watanzania masikini wanaoteseka na kufa usiku na mchana kwa kukosa huduma mhimu kama binadamu. Mwogopeni sana huyu mtu, na anapaswa kuchukiwa mno kwa kuwa hawa ndio chanzo cha umasikini mkubwa unaoikabili nchi.
  2. Ni zezeta, ama taahira au mjinga ambaye hakuwahi kuona mlango wa darasa au ni masikini wa kutupwa, limbukeni au mganga njaa na msaliti mkubwa wa jamii yake; huyu muoneeni huruma na msaidieni kwa kumuelimisha kwamba umasikini wake, njaa yake na ujinga wake unaweza kuondoka kwa kufanya mabadiliko katika serikali

Kwa hiyo kama ukiona yeyote anashabikia CCM, basi muweke tu kwenye makundi hayo mawili. Bahati mbaya ilioje, hawa watu ni wengi kweli hasa kwenye kundi namba mbili. Yupo tayari kupoteza uhai wa mwenzie ili yeye apate makombo ya kile wanachodondosha mafisadi.
Ilikuwa ni heri watu hawa wasingelizaliwa kabisa!
WANAHAKI YA KUUAMINI WANACHO AMINI. JAPO KWELI WENGI WAMEFUNIKWA KWA BLANKETI ZITO LA AMANI NA UTULIVU. AMANI NA UTULIVU GANI? MWENZIO ANATAMKA BILA HAYA MBELE YA KADAMUNASI. KWELI BILIONI MOJA YA NEW JERSEY NI YANGU NA VIJISENT TU VILE. WAKATI SHINYANGA JIMBO ANALO LIONGOZA WATU HAWAWEZI KUNUNUA SUKARI KILO MOJA KWA MIEZI KADHAA. BILIONI MOJA YEYE NI ROONEY ? RAISI ANAENDA KUMPIGIA KAMPENI VIJISENT NI MTU SAFI!!!!!!!!!!.:doh:
 
Ukiona mtu anashabikia CCM basi ujue yupo kwenye kundi mojawapo kati ya haya:
  1. Ni fisadi wa kutupwa; asiye na hata chembe ya huruma kwa watanzania masikini wanaoteseka na kufa usiku na mchana kwa kukosa huduma mhimu kama binadamu. Mwogopeni sana huyu mtu, na anapaswa kuchukiwa mno kwa kuwa hawa ndio chanzo cha umasikini mkubwa unaoikabili nchi.
  2. Ni zezeta, ama taahira au mjinga ambaye hakuwahi kuona mlango wa darasa au ni masikini wa kutupwa, limbukeni au mganga njaa na msaliti mkubwa wa jamii yake; huyu muoneeni huruma na msaidieni kwa kumuelimisha kwamba umasikini wake, njaa yake na ujinga wake unaweza kuondoka kwa kufanya mabadiliko katika serikali

Kwa hiyo kama ukiona yeyote anashabikia CCM, basi muweke tu kwenye makundi hayo mawili. Bahati mbaya ilioje, hawa watu ni wengi kweli hasa kwenye kundi namba mbili. Yupo tayari kupoteza uhai wa mwenzie ili yeye apate makombo ya kile wanachodondosha mafisadi.
Ilikuwa ni heri watu hawa wasingelizaliwa kabisa!

Hawa namba mbili ndo wengi, na ukiona wanajidhalilisha kwa JK Sultanate wanasubiri uDC au uRC maana ndo vyeo vya kulipana fadhila
 
Lukolo lugha uliyotumia ni kali sana. Hata mimi nahitaji mabadiliko saana lakini si kwa hoja kama zako. Wewe nikujuze tu, si wote wanaoshabikia CCM wana element ulizozitaja hapo juu kabisa. Naomba uelewe tunahitaji saana mabadiliko kwa sababu kuu zifuatazo:-

  1. Kuchoshwa na ahadi hewa kila mwaka.
  2. Usimamizi hafifu wa rasilimali za taifa.
  3. Serikali inayokosa mamuzi katika mambo mazito ya kitaifa na mengine mengi tu
Hivyo basi punguza jazba kidogo, njia bora ya kumkataa kiongozi au kumrudisha kiongozi madarakani ni KURA pekee na si vinginevyo. Tuombe Mungu kila mtu apige kura kwa muono wake. Usije ukasema nami fisadi, mimi nataka kunyoosha tu baba

Unachosema kina ukweli. Lakini ninachokiona ni kwamba sehemu kubwa ya mashabiki wa CCM ni malimbukeni tu. Huwezi kusema hawaoni namna fedha yetu inavyoshuka thamani, huwezi kusema hawaoni inflation rates zinavyokwenda juu huku kipata cha mtanzania kikizidi kushuka. Hatuwezi kusema hawa watu hawaoni namna ambavyo serikali inawagawa watanzania katika suala zima la utoaji wa elimu, pia huwezi kusema hawa watu hawaoni namna huduma ya afya ilivyo mbovu nchini huku madaktari wakiendelea kutimukia Botswana na Namibia.

Hatuwezi kusema kwamba hawa mashabiki wa CCM hawaoni namna ambavyo watu wachache wanafaidi kutokana na raslimali za nchi yetu huku wengine wakiwa na hali mbaya kabisa ya maisha. Hivi watu kama hawa kwanini nisiwaite mazezeta? Siamini kama mtu mwenye akili timamu anaweza kusimama mbele za watu bila aibu na kuisifia CCM. Ni wapuuzi hawa!!
 
Kila kukicha hua nakumbushia hii thread kwani hua siamini kuwa wanaoipenda na kuishabikia ccm na kikwete kweli ni watz....
 
Hawa wote ni wale walioajiriwa na CCM kwa mkataba wa kampeni za wiki tatu halafu baada ya Uchaguzi wanaanza kulia maisha magumu kwa miaka itanzo , hwa si watanzania ni wa nchi za nje waliokuja hapa nchini kula neema za nchi halafu wanakimia
 
Wamekosa methali wanaongozwa na mizimu kiama cha mfalme juha kinawadia nchini, kila kiongozi atakana na mikono yake, macho yake miguu yake kama ilivyoanza kwa CCM sasa
 
Back
Top Bottom