Hivi wanaoshabikia CCM ni watanzania?

Kuna watu mpaka sasa wana damu ya Kijani. Hivi inakuwaje..? Tafadhali mtujuze kuna nini KIZURI hata KIMOJA cha CCM kwa manufaa ya Watu wote.

Ukianza na Waliomo katika Serikali hadi kama Chama.
 
Mkuu tatizo ni kuwa CCM wanaipenda watu wenye mtazamo finyu.Wakipewa kanga,kofia,fulana wanajiona wamefika kumbe ni 0+0=
 
Mkuu tatizo ni kuwa CCM wanaipenda watu wenye mtazamo finyu.Wakipewa kanga,kofia,fulana wanajiona wamefika kumbe ni 0+0=

WAKATI WA CHAMA CHASHIKA HATAMU, CCM ilifanikiwa kuchukua heshima za kanisa katika jamii. Kwa hiyo hiki chama kinabudiwa na siyo kupendwa tuu. Watu walitembea uchi mtwara na kukaa katika foleni za sukari na unga wa Yanga, lakini bado husema zidumu fikira sahihi za mwenyekiti wa chama! Halafu shule za sekondari zilikuwa hazijengwi wala kupeleka wanafunzi wengi vyuo vikuu. Kwa hiyo idadi ya watu daraja la proteliants ( walala hoi ) ni kubwa sana hapa nchini ndio maana wana uwezo wa kuabudu chama na siyo kufuatilia uwezo wa kujenga uchumi.

wewe ona tuu nyerere alivyofanywa mungu mtu ingawa aliacha 95% ya watanzania jobless au aliacha unemployment kubwa kuliko katika nchi yeyote kusini mwa jangwa la sahara.

kama watanzania wote tukiacha nchi na kuja ishi ulaya miaka miwili tuu halafu turudi tanzania, CCM haitakuwa na mtu wa kuipenda, maana kila mtu atajua nini maana ya nguvu ya chama katika kujenga uchumi na sio kuimalisha chama.

asante nawahi kucheza golf !
 
CCM kuna umoja na mshikamano miongoni mwa watu ndugu yangu,
Kiukweli hakuna chama kinachoshirikisha watu wote tanzania hii kama ccm.
Usiangalie midomoni angalia mioyoni kama mwanasaikolojia utajua,usiangalie na kufikiria ndani ya box,toka nje ya box uone.
Chama gani kinauwezo wa kuunda serikali zaidi ya ccm,utendaji na kelele ni vitu tofauti,kufikiri na kutenda vinatengamana.

yawezekana hata wewe ni CCM
 
ni kweli kinashirikisha watu hasa katika kitengo cha kuwaibia watu, hapo ndio balaa, manake sasa hivi kina kikwete ni matajiri kutokana na hilo, nothing else
 
Chama cha Mapinduzi mara tu baada ya kifo cha mwalimu kimekuwa mstari wa mbele kutekeleza uovu uliopindukia kwa watanzania. mathalan, CCM ni mafisadi, walinda mafisadi, dhurumati, wezi, wauaji, waongo, wazushi, wamejaa mawazo mabaya siku zote, wanafiki, wajenzi wa umasikini wa kielimu na kiuchumi kwa watanzania. Hebu fuatilia nukuu hizi za Biblia, Union Version uone jinsi CCM walivyo kinyume na Mungu wa Ibrahimu, Muumba mbingu na nchi.

  1. Mithali 12: 22 " Midomo ya uongo ni chukizo kwa BWANA;Bali watendao uaminifu ndio furaha yake" na Mithali 15:26 "Mashauri mabaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maneno yapendezayo ni safi" Fuatilia kauli za Werema na Spika pamoja na mawaziri wote wa CCM bungeni.Ona kauli za Pinda bungeni na huko kwenye gesi huko Mtwara utabaini ninachokisema.
  2. Mithali 16:19 "Afadhali kuwa na roho ya uynyenyekevu pamoja na masikini,Kuliko kugawanya nyara pamoja na wenye kiburi" Ukiangalia vitendo vya serikali ya CCM kuhusu EPA, RICHMOND, DEEP GREEN, MEREMETA,meno ya tembo na meli za Kinana, miradi ya gesi huko mtwara, machimbo ya madini, aridhi inavyoporwa kwa wanyonge, watanzania masikini wanavyokamuliwa ili kutunisha mifuko ya mafisadi kupitia malipo ya umeme, bei za mafuta nk hutakosa kuona jinsi CCM walivyo kinyume na Mungu.
  3. Mithali 17: 15 "Yeye asemaye kwamba asiye haki ana haki; naye asemaye asemaye kwamba mwenye haki hana haki; Hao wote wawili ni chukizo kwa BWANA" Tumesikia na kushuhudia jinsi serikali hii inavyopindisha sheria zake kila pale wakubwa wanapofisidi wanyonge. Ona migogoro kati ya wakulima na wafugaji inavyoamuriwa kwa kupindisha sheria.
  4. Mafisadi na wote mliojitajilisha haraka haraka kwa fedha za maendeleo ya wananchi katika halimashauri zetuy maandiko yanasema: Mithali 13: 11 "Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka; Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa" Kuna watu walitajirika sana kupitia mashirika na makampuni ya umma mfano, Shirika la Ugawaji, Bhesco, Nafco, RTC, Usahishaji, nk. leo hii wako wapi...! mali zilipukutika wengine wamepigwa na viharusi.
  5. Mithali: 3:33 " Laana ya BWANA i katika nyumba ya waovu; Bali huibariki masikani ya mwenye haki" Laana ya BWANA iko pia katika kila chama cha waovu. Nao hawatadumu wasipo tenda haki na kurudisha utajiri wa fedha na madini ya watanzania walioiba na kuificha nje na ndani ya nchi.
  6. Watu hawa juzi walimlinganisha Kikwetre na Muyngu aliyeziumba mbingu na nchi. Ole wao!

Kuwashabikia, kuwatetea, kujiunga nao, kuwa kiongozi wa waovu hawa, wanaoona ni sawa wagonjwa wanyonge wa taifa hili kukosa huduma na madawa katika hospitali za umma kifisadi tu. Watu hawa wanyonge ambao elimu ya watoto wao imewekwa rehani kwa utajiri wa mafisadi hawa wachache HAKIKA watu hawa ni watu wampingao Mungu wa mbinguni.
 
Chama cha Mapinduzi mara tu baada ya kifo cha mwalimu kimekuwa mstari wa mbele kutekeleza uovu uliopindukia kwa watanzania. mathalan, CCM ni mafisadi, walinda mafisadi, dhurumati, wezi, wauaji, waongo, wazushi, wamejaa mawazo mabaya siku zote, wanafiki, wajenzi wa umasikini wa kielimu na kiuchumi kwa watanzania. Hebu fuatilia nukuu hizi za Biblia, Union Version uone jinsi CCM walivyo kinyume na Mungu wa Ibrahimu, Muumba mbingu na nchi.
  1. Mithali 12: 22 " Midomo ya uongo ni chukizo kwa BWANA;Bali watendao uaminifu ndio furaha yake" na Mithali 15:26 "Mashauri mabaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maneno yapendezayo ni safi" Fuatilia kauli za Werema na Spika pamoja na mawaziri wote wa CCM bungeni.Ona kauli za Pinda bungeni na huko kwenye gesi huko Mtwara utabaini ninachokisema....

Watu hawa wana macho lakini hawaoni,wana masikio lakini hawasikii.
 
Hivi ni Mungu gani huyo unayemsema.........Hujui kama Mungu wako siyo wa wote.........Wewe una mamlaka gani na umepewa na nani ya kuanza kuhukumu wengine...............put in your memory, politics and politician don't do God.
 
you are totaly cursed,if you dont beleive in GOD,wha do you believe? even those godness u trust in are suported by our almight God,CCM is truelly against wtith ten's GOD commadments.
 
Mungu gani unaye msema? Hujasoma biblia kwamba usihukumu usije ukahukumiwa pole sana kila mamlaka huweka na mungu hivyo ukipinga mamlaka yeyote halali unapingana na mungu, hivyo basi kwa uelewa wako mdogo unastahili kupewa maziwa yasio goshiwa!!
 
Ukisema mwigulu nchemba ni mzinzi alihali yuko hivyo umehukumu? Soma biblia uwelewe usinukuu fungu moja tu hii siyo quruan.
 
tunapinga mabovu yote ya ccm. hao unaodhan ni bora hujawapa nafas uone. unaweza kukuta wao ndo wanatufanya kama congo kabisa.
 
Mungu gani unaye msema? Hujasoma biblia kwamba usihukumu usije ukahukumiwa pole sana kila mamlaka huweka na mungu hivyo ukipinga mamlaka yeyote halali unapingana na mungu, hivyo basi kwa uelewa wako mdogo unastahili kupewa maziwa yasio goshiwa!!
kuna mamlaka ya Mungu na shetani si zote zimeweka na MUNGU.
 
Poa ila kumbuka kwamba chadema nayo imejaa laana kuanzia kwa mtei hadi kwa matata na shibuda ila kwa kuwa mna macho lakini hamuoni kuna siku mtaona tu, kumbuka ni heri shetani unaye mfahamu kuliko malaika nyoka kama chadema anaye tumia watoto wa maskini kuandamana wakati watoto wao wanasoma ulaya pole sana mtaandamana sana mtapigwa sana wenzenu wananeemeka!
 
Back
Top Bottom