chengula petro
Member
- Feb 7, 2021
- 9
- 2
Hivi ukipewa mkopo 100% ile admition fees unailipa wewe au nayo unalipiwa?
Lete picha mkuuIvi ukipewa mkopo 100% ile admition fees unailipa wewe au nayo unalipiwa
Yeeeh admission fee unalipa,, 100% means wamekulipia ada, yotePicha ipi mkuu
Mkuu unataka kusemaa umepigaa 100%Mkopo 100% means, umelipiwa ada, pesa kwa ajili ya vifaa vya kitaaluma, chakula na malazi ( Tuition fee, books & stationery, meals and accommodation) kwahyo wewe itakacho lipia Chuo ni vitu vingine vidogo vidogo kama gharama za usajili, medical fee etc... Depending na chuo husika.
Hapana, nimejibu swali la mtoa mada..Mkuu unataka kusemaa umepigaa 100%
Admition??? Ni kitu gani hiki????Hivi ukipewa mkopo 100% ile admition fees unailipa wewe au nayo unalipiwa?
Unamaanisha registration fee? Kama ni hyo inailipa wewe ipo nje ya mkopoHivi ukipewa mkopo 100% ile admition fees unailipa wewe au nayo unalipiwa?
Kwa baadhi ya vyuo huwa wanaita direct costs.Unamaanisha registration fee? Kama ni hyo inailipa wewe ipo nje ya mkopo