Hivi ni Kweli Tulihitaji Katiba Mpya au ilikuwa ni katika Njia tu za Kumsumbua Kikwete?

Ebale

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
943
1,682
Kwa ukimya huu hivi ni kweli tulihitaji katiba mpya? Kumekuwa na kawaida katika nchi hii Raisi akiwa ni wa Dini ..... lazima asumbuliwe sana na media, watu wa haki za binadamu, wanaharakati, wanasiasa na wale viongozi wa Dini ya.... Kwa matamko, maandamano na vurugu! Naamini vurugu ya kiuchumi iliopo sasa na kauli za kibabe zinazoendelea nchini ingekuwa ni kwenye awamu ya nne nchi hii ingekuwa hapatoshi!!! Sawa na hili la katiba mpya. Mie niliamini tangu mwanzo nia ilikuwa ni kumsumbua tu Raisi na akija raisi ya imani ile hakuna atayeuliza! Mtakubaliana nami kwa sasa si mwanasiasa, kiongozi wa dini, wala mwanaharakati anayeliongelea, watu wote kimya kwa kuwa kwa sasa Raisi aliyepo ni wa ile imani ile ambayo hatakiwi asumbuliwe!
 
Mkuu nashkuru na wewe kwa kuliona hilo! sasa hivi hatuwasikii cha wanaharakati wala viongozi wa dini? ni unafiki 100% Raisi ameteua wanawake wacheche kwenye nafasi za uongozi lakini hutosikia wale wapigania usawa wa jinsia! watu wamevunjiwa nyumba zao kiubabe, watu wa haki za binadamu kimyaaaa! sukari na bidhaa muhimu zinapanda viongozi wa dini kimya, ni unafiki kwa kwenda mbele,
 
Hawa wenzetu wanajua kubebana sana ila sisi iman yetu unafiq mwingi. Pamoja ma yoote haya lakini nchi kimyaaaa hata maandamano na matamko hakuna.
 
Yale Mahubiri ya kutukana Rais kila kwenye Ibada na Mikusanyiko kwa kisingizio cha shida za Wananchi yameyeyuka ghafla. Hili saga la Sukari lingekuwa enzi za Jakaya tungeona Viongozi wa Dini wazalendo wakiporomosha Kashfa na kejeli kwa Kikwete.
Walihama CCM kwa muda kwa kuwa Rais alikuwa 'dhaifu' sasa wamerejea Chamani Karibuni sana Viongozi wa Dini, na Uzuri wa Mkwere yule alishawasoma wakawa hawamsumbui tena alijua Msingi wa Uzalendo na uchungu wa Viongozi wale kwa Wananchi ulitokana na 'udhaifu' wa Rais. Sasa hivi hakuna Matamko wala kashfa kwa Mkuu wa nchi kwa kuwa usimamizi wa nchi ni Mzuri na Rais anaelekea kutatua shida zetu cha msingi ni kumuunga Mkono Rais
 
Naweza kuwaita ninyi wapuuzi tena wapuuzi kwelkweli. Mnayoyaongea hayana critics na hata chembe ya hoja kusupport mnachokisema. Na hata hilo mnalotaka kuliibua hamjui madhara yake. Laiti mngelikua meonja sumu ya udini, msingebinua midomo yenu kuongelea suala la dini kwenye public forum kama hii. Jaribuni kufiri namna ya kutatua matatizo yenu kwenye nyanja zote hasa maendeleo na si kuanza kuzusha mijadala yenye impact kubwa na sensitive kama dini. Watanzania tujifunze jaman!
 
Yale Mahubiri ya kutukana Rais kila kwenye Ibada na Mikusanyiko kwa kisingizio cha shida za Wananchi yameyeyuka ghafla. Hili saga la Sukari lingekuwa enzi za Jakaya tungeona Viongozi wa Dini wazalendo wakiporomosha Kashfa na kejeli kwa Kikwete.
Walihama CCM kwa muda kwa kuwa Rais alikuwa 'dhaifu' sasa wamerejea Chamani Karibuni sana Viongozi wa Dini.
Napenda nyinyi wasema ukweli!
 
Naweza kuwaita ninyi wapuuzi tena wapuuzi kwelkweli. Mnayoyaongea hayana critics na hata chembe ya hoja kusupport mnachokisema. Na hata hilo mnalotaka kuliibua hamjui madhara yake. Laiti mngelikua meonja sumu ya udini, msingebinua midomo yenu kuongelea suala la dini kwenye public forum kama hii. Jaribuni kufiri namna ya kutatua matatizo yenu kwenye nyanja zote hasa maendeleo na si kuanza kuzusha mijadala yenye impact kubwa na sensitive kama dini. Watanzania tujifunze jaman!

SOTE tunapaswa kuamini tatizo la sukari limetokana na 'wafanyabiashara wasio waaminifu kuficha sukari.' Ingekuwa wakati wa Jakaya lingekuwa limetokana na udhaifu wa Serikali kukurupuka na kuzuia sukari kutoka nje bila ya kufanya tathmini ya Mahitaji na upatikanaji wa sukari.Kuongoza Nchi ukiwa Rais 'Dhaifu' ni kazi ngumu sana
Siasa zetu ni nzuri sana kwa kuwa huhitaji Degree ya Political science kuwajua Wanafiki
 
Hatutaona tena waraka wa uchaguzi wa waumini hadi John amalize muda wake

2015 pia hapakuwa na Waraka japo 2010 tuliambiwa ni Muhimu waraka uwepo kutoa Muongozo haiwezekani Waumini wakapige kura kienyeji enyeji bila ya Muongozo wowote.

Sasa hivi tutashauriwa tusichanganye Siasa na dini kwa Mustakbali wa Amani yetu. Viongozi wa dini watashauri kujiepusha kugombanisha waumini na serikali yao kwenye Mahubiri ! Hahahaha.

Im proud to be Tanzanian
 
Ilikuwa vurugu kweli kweli, katiba, katiba, katiba, kila siku katiba! kwa usikivu wa JK akawaanzishia mchakato huku akijua kabisa lengo sio katiba lengo ni yeye! akina Slaa waliamini kabisa JK atakataa ili wapate sababu ya vurugu na zile hasira za kushindwa uchaguzi! ili nchi isitawalike, wakashangaa amekubali, na mchakato ukaanza, Kaondoka JK sasa kimyaaa!!!
 
Sasa hivi kuna juhudi kubwa sana kujaribu kuonyesha kuwa awamu iliyopita haina mazuri! ni dhambi kusema mazuri ya JK na awamu yake! ama kweli nchi ya kinafiki itabaki kuwa ya kinafiki
 
Ilikuwa vurugu kweli kweli, katiba, katiba, katiba, kila siku katiba! kwa usikivu wa JK akawaanzishia mchakato huku akijua kabisa lengo sio katiba lengo ni yeye! akina Slaa waliamini kabisa JK atakataa ili wapate sababu ya vurugu na zile hasira za kushindwa uchaguzi! ili nchi isitawalike, wakashangaa amekubali, na mchakato ukaanza, Kaondoka JK sasa kimyaaa!!!

Sahihi
 
Pengine hatokuja atokee JK mwingine kwa ubora, pamoja na figisu zote zile Mzee aliendelea kutabasamu... Sipatii picha Dr. Slaa angekuwa amefikisha 40% kama aliyopata Mamvi TZ isingetawalika. Ila kwa kuwa 2015 walikuwa WAO peke yao hata matokeo yangekuwa 51-49 kusingekuwa na shida:::::::: wanafiki sana watu hawa
 
Back
Top Bottom