Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,904
- 2,580
Hahahaha mkuu umepiga kichwani mwa nyumbuAjabu waliongoza kupinga katiba ya warioba leo wote wapo cdm . Ha ha häaa
Hahahaha mkuu umepiga kichwani mwa nyumbuAjabu waliongoza kupinga katiba ya warioba leo wote wapo cdm . Ha ha häaa
Pengine hatokuja atokee JK mwingine kwa ubora, pamoja na figisu zote zile Mzee aliendelea kutabasamu... Sipatii picha Dr. Slaa angekuwa amefikisha 40% kama aliyopata Mamvi TZ isingetawalika. Ila kwa kuwa 2015 walikuwa WAO peke yao hata matokeo yangekuwa 51-49 kusingekuwa na shida:::::::: wanafiki sana watu hawa
Moderator huu uzi unafaa kuendelea kuwepo hapa?
Kuna Radio ziliwahi fungiwa kwa mijadala ya aina hii, haya tuendelee.Acha unafiki, jifunze kumeza hata vile haviko comfort zone yako
Salary slip hata kama unapinga unaiona ile amshaamsha ya katiba mpya?? unajua katiba mpya imechangia kiasi gani kukuza deni letu la taifa? hivi ni kweli tulihitaji hiyo katiba? au ilikuwa ni uchungu tu wa kushindwa kwa waraka?Kuna Radio ziliwahi fungiwa kwa mijadala ya aina hii, haya tuendelee.
Sijui kama umeelewa mada au ndio unaendeleza unafikiKuna Radio ziliwahi fungiwa kwa mijadala ya aina hii, haya tuendelee.
Wewe ni mdini na unasambaza udini.Hivi waliosema JK alikuwa ni chaguo la Mungu walikuwa wa dini gani?Mbona hili hamuhoji?Sijui kama umeelewa mada au ndio unaendeleza unafiki
Kuna Radio ziliwahi fungiwa kwa mijadala ya aina hii, haya tuendelee.
Kwa ukimya huu hivi ni kweli tulihitaji katiba mpya? Kumekuwa na kawaida katika nchi hii Raisi akiwa ni wa Dini ..... lazima asumbuliwe sana na media, watu wa haki za binadamu, wanaharakati, wanasiasa na wale viongozi wa Dini ya.... Kwa matamko, maandamano na vurugu! Naamini vurugu ya kiuchumi iliopo sasa na kauli za kibabe zinazoendelea nchini ingekuwa ni kwenye awamu ya nne nchi hii ingekuwa hapatoshi!!! Sawa na hili la katiba mpya. Mie niliamini tangu mwanzo nia ilikuwa ni kumsumbua tu Raisi na akija raisi ya imani ile hakuna atayeuliza! Mtakubaliana nami kwa sasa si mwanasiasa, kiongozi wa dini, wala mwanaharakati anayeliongelea, watu wote kimya kwa kuwa kwa sasa Raisi aliyepo ni wa ile imani ile ambayo hatakiwi asumbuliwe!
Wewe ni mdini na unasambaza udini.Hivi waliosema JK alikuwa ni chaguo la Mungu walikuwa wa dini gani?Mbona hili hamuhoji?
Hii siyo dalili nzuri hata kidogo. "Imani isiyotakiwa na imani inayotakiwa"Kwa ukimya huu hivi ni kweli tulihitaji katiba mpya? Kumekuwa na kawaida katika nchi hii Raisi akiwa ni wa Dini ..... lazima asumbuliwe sana na media, watu wa haki za binadamu, wanaharakati, wanasiasa na wale viongozi wa Dini ya.... Kwa matamko, maandamano na vurugu! Naamini vurugu ya kiuchumi iliopo sasa na kauli za kibabe zinazoendelea nchini ingekuwa ni kwenye awamu ya nne nchi hii ingekuwa hapatoshi!!! Sawa na hili la katiba mpya. Mie niliamini tangu mwanzo nia ilikuwa ni kumsumbua tu Raisi na akija raisi ya imani ile hakuna atayeuliza! Mtakubaliana nami kwa sasa si mwanasiasa, kiongozi wa dini, wala mwanaharakati anayeliongelea, watu wote kimya kwa kuwa kwa sasa Raisi aliyepo ni wa ile imani ile ambayo hatakiwi asumbuliwe!
Waliokataa katiba ya warioba wote wapo chadema unategemea nini.Mkuu nashkuru na wewe kwa kuliona hilo! sasa hivi hatuwasikii cha wanaharakati wala viongozi wa dini? ni unafiki 100% Raisi ameteua wanawake wacheche kwenye nafasi za uongozi lakini hutosikia wale wapigania usawa wa jinsia! watu wamevunjiwa nyumba zao kiubabe, watu wa haki za binadamu kimyaaaa! sukari na bidhaa muhimu zinapanda viongozi wa dini kimya, ni unafiki kwa kwenda mbele,
Mkuu: nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani lakini nadhani safari hii walikuwa genuine, lakini si kwa kutaka haki-bin-haki bali kutafuta dola kwa mlango wa nyuma. Walitaka serkali 3 walijua watashindwa lakini wakaona si vibaya kutikisa kiberiti. Walitaka Tume Huru ya Uchaguzi hii nayo ilikuwa kutikusa kiberiti kwa sababu Mungu bado hajaanza kutuchagulua tume, bado itabidi wachaguliwe na mtu fulani. Nani kama Rais? Kumbuka Rais ni mchaguliwa wa wananchi wote. Walitaka mgombea huru bila kujua undani wake, wakidhani ni rahisi kugombea binafsi kama una hela. Wisely yalawekwa masharti kuzuia matajiri wa unga kuitenunua nchi kwa kununua kura. Ya mwisho ni Rais kupingwa mahakamani hiyo wamepata kila mtu alitaka. Lakini masharti yametosha kuzuia abuse kwa peoples power kuandamana bila kikomo.Kwa ukimya huu hivi ni kweli tulihitaji katiba mpya? Kumekuwa na kawaida katika nchi hii Raisi akiwa ni wa Dini ..... lazima asumbuliwe sana na media, watu wa haki za binadamu, wanaharakati, wanasiasa na wale viongozi wa Dini ya.... Kwa matamko, maandamano na vurugu! Naamini vurugu ya kiuchumi iliopo sasa na kauli za kibabe zinazoendelea nchini ingekuwa ni kwenye awamu ya nne nchi hii ingekuwa hapatoshi!!! Sawa na hili la katiba mpya. Mie niliamini tangu mwanzo nia ilikuwa ni kumsumbua tu Raisi na akija raisi ya imani ile hakuna atayeuliza! Mtakubaliana nami kwa sasa si mwanasiasa, kiongozi wa dini, wala mwanaharakati anayeliongelea, watu wote kimya kwa kuwa kwa sasa Raisi aliyepo ni wa ile imani ile ambayo hatakiwi asumbuliwe!
Kwa ukimya huu hivi ni kweli tulihitaji katiba mpya? Kumekuwa na kawaida katika nchi hii Raisi akiwa ni wa Dini ..... lazima asumbuliwe sana na media, watu wa haki za binadamu, wanaharakati, wanasiasa na wale viongozi wa Dini ya.... Kwa matamko, maandamano na vurugu! Naamini vurugu ya kiuchumi iliopo sasa na kauli za kibabe zinazoendelea nchini ingekuwa ni kwenye awamu ya nne nchi hii ingekuwa hapatoshi!!! Sawa na hili la katiba mpya. Mie niliamini tangu mwanzo nia ilikuwa ni kumsumbua tu Raisi na akija raisi ya imani ile hakuna atayeuliza! Mtakubaliana nami kwa sasa si mwanasiasa, kiongozi wa dini, wala mwanaharakati anayeliongelea, watu wote kimya kwa kuwa kwa sasa Raisi aliyepo ni wa ile imani ile ambayo hatakiwi asumbuliwe!