Hivi, ni kupenda au kutamani?

:doh: ahh Bigiritta bana u decided to give me a hell of homework
anyway let me try;

After knowing that person and knowing that u're emotionally and intellectually compatible... When u r not just attracted to the physical appearances of that person, but their personalities and other qualities.

Attraction is auto since u just concentrate on the looks and physical appearances of the person.
Sis hii luv unayoingelea wewe yenye a lot of conditions ni luv ya aina gani. Au mimi sijui maana ya love. Intellectual compatibility!!!!! Duh hii kali tena sana.
 
.there is A WAY lakini usinibishie.... :bowl:

His action will make me believe he loves me....(thts why I said I need time to love someone) OKAY I know we are all humans, which makes it impossible for us to read minds, but yet, we try to analyze them through actions. As a matter of fact, to know if a guy loves you or not, watch out for his actions than words. He might tell you I love you a hundred times, and deep inside his minds, he is saying, I don’t think this girl is right for me.....

Umenipata?
Na inawezekana kabisa mtu akafanya kama anakupenda kumbe ana ajenda ya siri.
 
Umesema kweli, The Boss. kuna watu wanaishi na wake/waume zao wakati wanapenda watu wengine "God Forbid". Ingawa pia kuwa watu ambao wanawapenda wake/ waume zao lakini pia wanawapenda watu wengine nje. kuna rafiki yangu ameoa lakini ana girlfriend, nilipolijua hilo nilimuuliza inakuwaje ana GF? nikamuuliza kama hampendi tena mkewe, akanijibu kuwa anampenda; na GF akasema anampenda. sikuweza kumwamini kama kuna kupenda zaidi ya 1 kwa wakati mmoja, lakini aliniambia huo ndo ukweli wake.

Hakuna utafiti wowote ambao umeshawahi kufanyika na kutoa uthibitisho kwamba ukishampenda mwanamke au mwanamme fulani basi huwezi tena kupenda mwingine, bali kilichopo ni utaratibu wa dini ya kikristu ambao unasema kwamba ndoa ni ya mke mmoja na mme mmoja. Lakini kwa waislamu ndoa ni ya hadi wake wanne na naamini mwanamume wa kiislamu ambaye anaamua kuwowa mke wa pili, watatu na wanne lazima anakuwa anaupendo nao lakini hiyo haimaanishi kwamba hawapendi tena waliotangulia.

Kitu ambacho kinaweza kuwa tofauti ni kiwango cha mapenzi kati ya hao wawili, watatu au wanne. Lakini pia upendo wake unawezo kuwa tofauti kati ya wanawake wake kutokana na vionjo vya mapenzi ambavyo anavipata kutoka kwao. Hata katika mapenzi ya wazazi na watoto pamoja na kwamba mzazi anaweza kuwa na watoto watatu au wanne lazima kila mzazi atakuwa na mtoto ambaye anampenda zaidi. Kwenye maandiko matakatifu ya Biblia imeandikwa kwamba kuna mwanafunzi mmoja wa Yesu ambaye Yesu alimpenda zaidi ya wengine 11.
 
Kwa hiyo utajuaje huyu analeta sanaa ama la?

ni ngumu sana hommie kujua vinginevyo there wouldnt be heart breaks. lakini hii sanaa inafanywa kwa utaalamu wa hali ya juu kiasi kwamba unashindwa kutenganisha nani anapenda nani anatamani tu!!!
 
Muislam karuhusiwa kuoa wanne endapo tu atawapenda wote sawa au sio?

sasa kumbe ni ngumu kugawa upendo 'equally' kwa wote wanne
 
Muislam karuhusiwa kuoa wanne endapo tu atawapenda wote sawa au sio?

sasa kumbe ni ngumu kugawa upendo 'equally' kwa wote wanne
Sahihisho: sio endapo atawapenda wote sawa, bali endapo atawatendea wote sawa. It is equal and fair treatment that is the condition not equal love. Got it??
 
ni ngumu sana hommie kujua vinginevyo there wouldnt be heart breaks. lakini hii sanaa inafanywa kwa utaalamu wa hali ya juu kiasi kwamba unashindwa kutenganisha nani anapenda nani anatamani tu!!!
Kwa ukweli tunaanza kutamani then tunapenda!! Upendo unajengeka mnapokua pamoja......ila kuna exceptional ambayo mtu anampenda ila % kubwa tunatamani kwanza!!
 
hiyo ni tamaa tu!:nono:
inakuwa tamaa kama umekuwa attracted na mmoja, then unataka na mwingine tena na tena na tena!!
Lakini kama attraction na huyo wa kwanza imeisha, unaruhusiwa kuwa attracted na mwingine tena bana!!
 
Do! at last...............Hii ndo ya kwanza ya kufungulia pazia toka kwako bht. Leo siku nzuri sana hii... hebu angalieni wenyewe hapa chini

The Following User Says Thank You to Da Womanizer For This Useful Post:

bht (Today)
 
Back
Top Bottom