Tufungue siku na haka ka jarida ka Upendo au Kupenda

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
Iko hivi Mungu ni upendo,
A material which create God is Love.
Kama huna upendo wewe ni bure kabisa.
Mungu anawapenda watu wote wanao mjua na wasio mjua, wenye akili na wasio na akili wote Mungu anawapenda..
Upendo una sura pana, Mzazi akimchapa mtoto unaweza fikiri anachuki nae, lakini ni upendo.
Umefungiwa kwenye package ambayo kama huoni vizuri huwezi kuelewa.

Mzazi anakulazimisha kwenda shamba na wewe unatamani ulale tu na kupumzika, unaona ni mateso lakini hapana.
Upendo wa Mungu unatabia hiyo pia.
Mungu ni Mungu mwenye wivu,

Sifa hii ya uungu ya kupenda kila binadamu anayo.

Mifano ni mingi
~ Kupenda wanyama sana, kuna mtu anaweza hadi kumlilia paka au mbwa wake kwa upendo mkubwa na asipokuwepo anamuwaza kabisa.
~ Kupenda chakula fulani sana.
~ Kumpenda ndugu
~ kumpenda mke
~ Kupenda mavazi ya kupendeza
~ Mapenzi sasa ndio usiseme 🔥
~ Wengine wanapenda watoto na hawana.
~ Mwengine atampenda mzazi wake sana kupita kila kitu maishani.
~ Wapenzi wa pombe mnaelewa

Love is our weakness
Believe it
What you Love will make you Suffer.
ukipenda ujinga umeumia
Kupenda kunatesa sana, hivi unajua kusingekua na kupenda, maisha yangekua mepesi sana

Mungu hajutii kumuumba binadamu,
Ila wewe binadamu ukisha kujutia juu ya njia yako mbaya, basi rudi kwake na usimwache Mungu..
 
Joy
Do you want a joyful life? Just Love 😍

J - Jesus first
O - Others seconds
Y - You last.

Ukichanganya tu huo mfululizo lazima ujikute kwenye matatizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom